Send off nzuri sana imefanyika ya binti anayejielewa kutoka familia inayojitambua. Hakuna kusumbua watu Michango

Send off nzuri sana imefanyika ya binti anayejielewa kutoka familia inayojitambua. Hakuna kusumbua watu Michango

Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
Kwani msibani watu hualikwa kama ilivyo kwenye sherehe? Je, msibani kunakuwa na vikao vya kamati kama kwenye sherehe? Je, huoni tofauti iliyopo kati ya msiba na sherehe?
 
Yeah tena huo msiba utakuwa fresh sana budget itakuwa nzuri sana yani jeneza, usafiri,chakula cha watu 33 + vinywaji kadhaa...msiba umeisha hivyo.
Pia, hakutakuwa na watu wa kusimama….Kila mtu atapata seat yake.
Msiba siku 5 mnaumaliza.
 
Hii ndoa haitadumu. Wanawake wa hivi huwa wanavunja ndoa bila kusumbua watu kama ilivyokuwa kwenye sendoff.

Huwa wanasepa kwa kukuaga kabisa. Utasikia unaambiwa leo tuachane. Ujue anamaanisha hapo
 
Hii ndoa haitadumu. Wanawake wa hivi huwa wanavunja ndoa bila kusumbua watu kama ilivyokuwa kwenye sendoff.

Huwa wanasepa kwa kukuaga kabisa. Utasikia unaambiwa leo tuachane. Ujue anamaanisha hapo
Kuna jamaa yangu alifunga ndoa kama hii imagine hata mimi rafiki yake sikualikwa. Walialikwa ndugu wa karibu 20 tu. Hakukua na mchango wala vikao. Ndoa ina zaidi ya miaka 12 sasa.
 
Hii michango inakera sana
Mtu anachangisha send off, kitchen party na harusi
 
Kwani msibani watu hualikwa kama ilivyo kwenye sherehe? Je, msibani kunakuwa na vikao vya kamati kama kwenye sherehe? Je, huoni tofauti iliyopo kati ya msiba na sherehe?
Suala hapo ni kushirikiana na watu kwenye shida na raha. Kama wewe hunishirikishi wakati wa raha, usitegemee kunishirikisha wakati wa shida.
 
Nyie ndio wale mnafosi michango ya harusi hata kwa watu ambao mlipotezana kitambo, huwa mnaboa sana
Mnapenda kuona umati misibani kwenu lakini mnapokuwa na sherehe mnafungia watu nje ya geti na mbaona sawa tu.
 
Vatican yenyewe inachangiwa mpaka na DRC, na USAID it was all about michango, ni upuuzi kufikiri michango haiitajiki! Inaimarisha undugu na mahusiano
 
Back
Top Bottom