Kwani msibani watu hualikwa kama ilivyo kwenye sherehe? Je, msibani kunakuwa na vikao vya kamati kama kwenye sherehe? Je, huoni tofauti iliyopo kati ya msiba na sherehe?Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani msibani watu hualikwa kama ilivyo kwenye sherehe? Je, msibani kunakuwa na vikao vya kamati kama kwenye sherehe? Je, huoni tofauti iliyopo kati ya msiba na sherehe?Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
Pia, hakutakuwa na watu wa kusimama….Kila mtu atapata seat yake.Yeah tena huo msiba utakuwa fresh sana budget itakuwa nzuri sana yani jeneza, usafiri,chakula cha watu 33 + vinywaji kadhaa...msiba umeisha hivyo.
Si mwana familia 😂Umejuaje kama hamna michango?
😄😀😀😀Si mwana familia 😂
Au nidanganya wajameniii 😂😄😀😀😀
Waswahili aiseeAkifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
Kuna jamaa yangu alifunga ndoa kama hii imagine hata mimi rafiki yake sikualikwa. Walialikwa ndugu wa karibu 20 tu. Hakukua na mchango wala vikao. Ndoa ina zaidi ya miaka 12 sasa.Hii ndoa haitadumu. Wanawake wa hivi huwa wanavunja ndoa bila kusumbua watu kama ilivyokuwa kwenye sendoff.
Huwa wanasepa kwa kukuaga kabisa. Utasikia unaambiwa leo tuachane. Ujue anamaanisha hapo
Suala hapo ni kushirikiana na watu kwenye shida na raha. Kama wewe hunishirikishi wakati wa raha, usitegemee kunishirikisha wakati wa shida.Kwani msibani watu hualikwa kama ilivyo kwenye sherehe? Je, msibani kunakuwa na vikao vya kamati kama kwenye sherehe? Je, huoni tofauti iliyopo kati ya msiba na sherehe?
Mnapenda kuona umati misibani kwenu lakini mnapokuwa na sherehe mnafungia watu nje ya geti na mbaona sawa tu.Nyie ndio wale mnafosi michango ya harusi hata kwa watu ambao mlipotezana kitambo, huwa mnaboa sana
Kwani hawatoshi?! Kazi kubwa msibani ni kuchimba kaburi, Sasa watu 33 watashindwa kuchimba kaburi?!Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
Ukija umati kwenye msiba ndio marehemu atafufuka?? Fikira za kijinga sana hiziMnapenda kuona umati misibani kwenu lakini mnapokuwa na sherehe mnafungia watu nje ya geti na mbaona sawa tu.