Seneta Manchin wa US alalamika Marekani kuendelea kununua mafuta ya Russia zaidi ya lita milioni 79 (barrel nusu milioni) kwa siku

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Seneta wa West Virginia wa Chama Cha Democrat, Joe Manich, amemtaka rais Biden kuongeza uzalishaji wa nishati wa Marekani ili kuiepusha Marekani kuendelea kuitegemea mafuta na gesi ya Russia, akiishutumu Ikulu ya White House kuweka sera za kinafiki.

Seneta huyo kasema Marekani yaingiza (yanunua) toka Russia takribani barrels 500,000 (sawa na lita 79,000,000 yaani lita milioni 79) ya bidhaa za mafuta kwa mwezi, hali ambayo yahatarisha usalama wa Marekani (utegemezi wa nishati kwa russia).

Wakati waMarekani wakilalamikia kinachoendelea nchini Ukraine, Marekani inaendelea kuingiza (kununua) kila siku zaidi ya lita milioni 79 kwa siku za bidhaa za mafuta toka Urusi ktk kipindi hiki cha vita. Jambo hili haliingii akilini na limadhihirisha wazi hatari tuliyonayo ktk maswala ya nishati.

======

Sen. Joe Manchin called on President Joe Biden to ramp up domestic energy production to curtail the United States's reliance on Russian oil and gas imports, accusing the White House of pushing “hypocritical” policies.

The West Virginia Democrat said in a statement late Monday that the U.S. importing about a half-million barrels of oil products from Russia a month poses a “clear and present danger to U.S. national security."

Many Republicans have said in recent days that Russia's aggression vindicates the case for added U.S. production of fossil fuels, but it's unusual for a member of Biden's own party to make the same argument. Manchin, though, has long favored fossil fuel production and has been skeptical of his party's regulatory agenda.

“While Americans decry what is happening in Ukraine, the United States continues to allow the import of more than half a million barrels per day of crude oil and other petroleum products from Russia during this time of war,” Manchin said. "This makes no sense at all and represents a clear and present danger to our nation’s energy security."
 
Page yako ya pili ya kiswahili umeandka 79.M kwa mwezi...page ya.3 ukaandika 79.M kwa siku😂😂..kweli ww mrusi wa tandale
 
Wamjibu tu hatuendagi hivyo haraka haraka..😂
 
K

Kwa

Kwanini wasiende Norway. Mafuta mengi tu.
 
kwaiyo kwako wewe hicho ndio kipimo cha demokrasia[emoji15]
Kuna nini zaidi ya icho?...
,katika bunge la urusi kuna members wengi wa kupinga upumbavu wa putin but they are SCARED of putin's regime. Ukimpinga putin in his regime his wasio Julikana they will poison you or they will take you to height and throw you from the window to death.
 
Page yako ya pili ya kiswahili umeandka 79.M kwa mwezi...page ya.3 ukaandika 79.M kwa siku😂😂..kweli ww mrusi wa tandale
Sasa wewe washindwa kujua jambo dogo tu kuwa ktk nyakati za vita watu hununua bidhaa kwa wingi zaidi ili kuweka akiba kwa ajili ya kujikinga na ukosekanaji wa bidhaa hiyo ktk kipindi hicho?

BTW, Si usome maelezo ya Seneta Manchin yaliyo ktk kiingereza kwenye link niliyokuwekea uone kama kuna tofauti na nilichoripoti? Au lugha ya Kimalkia yakusumbua mMarekani wa Tandahimba?
 
Kuna nini zaidi ya icho?...
,katika bunge la urusi kuna members wengi wa kupinga upumbavu wa putin but they are SCARED of putin's regime. Ukimpinga putin in his regime his wasio Julikana they will poison you or they will take you to height and throw you from the window to death.

Linapofika swala la kulinda masrahi ya taifa hakunaga demokrasia, kama marekani walivyotaka kumuua Edwad Snowden kwa masrahi ya taifa ndivyo putin anavyofanya pia,
 
Snowden hana kitu yule anatumika na US hadi sasa bahati nzuri Urusi walimstukia mapema hata hawampi uzito wowote.
Ikiwa unafikiria nje ya lines utaona ni kwa namna ipi US inamtumia Snowden.
 
ndio maana napenda demokrasia, hivi mbuge wa Urusi anaweza hoji hivyo kweli kwenye Serikali ya putin/.
wa piga filimbi wa Urusi mnamatizo ya akili.
katika kitu ambacho ujui huko urusi ndio demokrasia ipo kwa hali ya juu sana,.

Putin huulizwa maswali na waandishi wa habari,kwenye mihadhara yake mara kwa mara kuliko hata biden ila tuu linapotokea jambo huwa urus haina masiala.

kwanza hawajawahi kuchukua koloni africa na sehemu yoyote hapa duniani.

sio wanyonyaji ila ni watoaji tatizo mnasikiliza sana hawa propaganda media kuliko RT ya urusi n vizuri kujua pande zote.

nikikuambia unafilia chinaswahiliradio' huenda hujuijui ila habara zao ziko tofauti na hawa propaganda media.
 
Unasema eti warusi sio wanyonyaji na ni watoaji, nimeshindwa kabisa kukuelewa hapa maanake sijui utoaji wao ni upi.!!
 
Back
Top Bottom