Seneta Manchin wa US alalamika Marekani kuendelea kununua mafuta ya Russia zaidi ya lita milioni 79 (barrel nusu milioni) kwa siku

Warusi wana mafuta mengi Sana pamoja gesi
 
hawa ndo wale matajiri hawajui mtaani kukoje... analalamika kisihasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…