kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Kwa hivyo Kitima ananguvu ktk nchi hii? Dah?Lazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.
Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala
Kwahiyo kama hana nguvu ni lazima ashambuliwe bila sababu yoyote na bila kujali yeye ni raia wa kawaida?Kwa hivyo Kitima ananguvu ktk nchi hii? Dah?
Laana hii, yaani unamuhusisha Mungu na vitu vya kijinga?!!!!Lissu ni sauti ya Mungu... Lissu ndiye mpinzani wa kweli tangu uasisi wa vyama vingi vya siasa 1992 katika nchi yetu.
.
Muda wote huo tulikuwa tunahangaika tu.
Kama hakuna Mabadiliko ya Sheria za uchaguzi - Uchaguzi huu wa October HAUPO.
Hutaki basi twende wote CHAUMA.
CCM WASITAKE KUTUDANGANYA TENA.. WAONDIO SEREKALI NA MPAKA SASA BUNGE LAO.. WANAUWEZO WAKUBALI MWENENDO ILA WANAKAZA VICHWAKuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Unakuta mtu anakuambia hao wanatuingilia mambo yetuπ€£mambo yenu ni yapi? hizo kauli wakubwa wanaongea kuwapa mihemko wananchi??.. TUNAPASWA KUJUA HIVI KAMA BUNGE LETU LINGESEMA NA KUPIGANIA TUNDU LISSU AACHILIWE BAS BUNGE LA EU LISINGESEMA AMA TUNAHISI TUNDU LISSU HANA CONNECTION HAPA DUNIANIKuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
TANZANIA IS A SOVEREIGN STATE,Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Wengi hawajui sababu ni Gan Euro 1 ni Elfu3 na cent angali Dollar Ni elfu2 na America ndio powerful country.... Long story short, We are subservient To European Nations more than America Nation...hamna cha ushoga wala undezi wala Uswahili... mbona hatuongei kipindi tunaomba mikopo na kutengenezewa umeme.... wanatafuta wapi pakuwafunga akili wananchi... Aliesema Wanatuletea ushoga hakuongea kwa Lugha Ya EU ni kufunga Motaa Wananchii TuKuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Saying Tanzania is a sovereign state is the statement of intent to hide the fact that a country can descend into rogue state and not sovereign state.TANZANIA IS A SOVEREIGN STATE,
OVER
JIWE ALIWEKEWA VIKWAZO HADI MAKONDA NA BADO YUPO
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
πππYupo Wasira na makalla watapangua hoja zote zitakazotolewa na bunge la senet
Utaumia wewe kwa maisha magumu na si viongozi wa nchiLazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.
Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala
Suala gani?Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Lazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.
Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala
Hii isimfikie trump, yule rais ana nyodo, atongea shombo kuhusu tanzania jinsi mambo ya siasa yanavyofanyika
tuombe isimfikie yule mzee ni mropokaji hana hayaMzee wa Mawigi lazima awaibukie