Wameanza kuangalia maeneo ambayo waweza kuyashughulikia.Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
tuombe isimfikie yule mzee ni mropokaji hana haya
Anaijua Tanzania kweli ?Hii isimfikie trump, yule rais ana nyodo, atongea shombo kuhusu tanzania jinsi mambo ya siasa yanavyofanyika
Wapumbavu wa nchi hii wamewekeza JF wakati wapiga kura ht hawaingii humu. Tanzania kuna nini kwanini wasikae kwa ajili ya Sudan, DRC? NYUMBU NI ZERO BRAIN KWL.Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
OkAnaijua Tanzania kweli ?
Juzi aliuliza Congo ndio kitu gani ππ
ππππHapo lazima mama atapike karafuu za Unguja
Zilikuwa swaga tu. πOk
Mbona kamtuma mwakilishi wake aitwae Massad Boulos (mtoto wake kamuoa Tiffany Trump) akashughulikie suala la mikataba ya madini?
Kwani Serikali ya CCM inayoranda huko majuu kukopa pesa had za kujenga matundu ya vyoo vya shule, huwa wanatumwa na wapinzani? Uko timamu wewee?Ujinga mlionao wapinzani ni kutegemea msaada kutoka kwa mabeberu sijui mnadhani wao ni wajinga au vichaa wawasaidie bure tu
Nashangaa hapo na mie.Hivi wabunge chewelesa na mwita iweje watokwe povu kiasi kile bungeni, kwani bunge la ulaya lime impose ushoga tanzania au hao wabunge wa tanzania wanafanya siasa za aibu kuhadaa watanzania kuwa EU wanaingiza ushoga nchini? Wabunge wazima kabisa wanakimbilia ushoga kujibu bunge la ulaya hii si ni aibu kuwa na wabunge wa aina hii?
Nilipoona Wabongo ni hamnazo, eti anakataa ushoga, ilaa mauaji na utekaji holela anataka.Utasikia oh wanatuletea mambo ya ushoga, ushoga hatuutaki. Kutumia ushoga kupinga wazungu wanapotaka haki za raia na mambo mengine ya hovyo huo ni upuuzi. Wazungu wana utu tuwaheshimu watatuheshimu
Anaijua Tanzania kweli ?
Juzi aliuliza Congo ndio kitu gani
Hapana Boulos yupo Congo azungumza madili ya madini.Zilikuwa swaga tu. π
ππππHii isimfikie trump, yule rais ana nyodo, atongea shombo kuhusu tanzania jinsi mambo ya siasa yanavyofanyika
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Time to, Waziri wetu anyanyuke aende akawaeleze hali halisi iliyopo, vitisho ambavyo nchi inatishiwa kiusalama, as you know Africa ni Africa, na waafrica ni wale wale, serekali haina baya na chama chochote, ispokuwa inadadisi kauli za kivhochezi hatarishi kwa usalama wa taifa la Tanzania, facts matter!,, kwa nini mpaka sasa kauli zile mbaya sana, hazija fanyiwa kazi ya kuwa translated in English ili waone what was, and why tz do so! Tz polisi are on duty on those who claimed to be taken by hooligans bout where are they!Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.