Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

17342902_10154675932709051_6242129084010219040_n.jpg

0fgjhsc26gcll9gq6.5e3da611.jpg
 
Yeye hakufoji jina? Suala sio vyeti..suala hajaviiba? (Hii namaanisha kwa huyu wakwetu)
 
Na bado atazidi kuwanyoosha

Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.

Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeee
Wacha maneno mingi weka cheti
 
Mimi hili suala lifikie mwisho......ingekuwa vyema wanaorusha tuhuma waende mahakamani......nadhani huko ndiko mheshimiwa makonda atakapoumbuliwa kwa mujibu wa sheria.......kwa kuwa inatambulika kuwa kughushia vyeti vya kitaaluma ni kosa kisheria na lina adhabu zake kwa mujibu wa sheria........
Kwanini mpaka twende mahakamani yeye anaona ugumu gani kuonesha mpaka tumpeleke mahakamani?
 
Ndio tunakumbuka....lakini kwanini wasimuumbue huko mahakamani....ambapo atahukumiwa kwa mujibu wa sheria....!???

Mimi nadhani hii ndio sababu mujarabu ya kumuondoa huyo Makonda kwenye nafasi yake
Kwanini unaona ni vigumu sana kwa makonda kuonesha cheti mpaka apelekwe mahakamani?
 
Kwanini mpaka twende mahakamani yeye anaona ugumu gani kuonesha mpaka tumpeleke mahakamani?

Kwa sababu mpaka muda huu....hataki kwa sababu anazo zijua mwenyewe.....kwa kuwa hili lipo kisheria na lina adhabu yake kwa mujibu wa sheria kwanini....sheria isifuatwe......ili tufahamu mbivu na mbichi......kwa hali ilivyo sasa hivi.....mimi binafsi nimebaki nusu kwa nusu.....kuwa inawezekana akawa anasingiziwa.....au inawezekana ikawa ni kweli.......

Sasa ili kumaliza utata kwanini hili shauri lisipelekwe mahakamani.....kama kweli vielelezo vyote vya kumuweka hatiani Makonda....!??

Kwanini linazungumzwa kwenye majukwaa ya kisiasa tu.....!!!!

Tumeshasikia tuhuma nyingi za wanasiasa dhidi ya watu waliotufautiana nao kisiasa.....ambao mwishowe wamekuwa mashujaa kwenye upande huuo huo wa waliokuwa wakiwatuhumu.......
 
Shaka yangu wasije wakajitokeza kina Bashite wengine wakalipeleka mahakamani ili Bunge litakapo anza Mama wa maswali ya kisera akapata sababu kwamba kesi ipo mahakamani Nawaza tu.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Sonko na Makonda

Makonda hawezi Onyesha vyeti kwa sababu yeye siyo Mwanasiasa, Mtumishi aombwi vyeti na watu tu alafu na yeye akaonyesha

Mtumishi anaombwa vyeti na boss wake ambaye ni mwajili wake na siyo tu mtu kuandika Facebook au Jamii Forum kuomba vyeti vya mtu akatoa na kuweka kwenye media

Narudia Makonda siyo mwanasiasa ndio maana hawezi onyesha vyeti vyake huu ni mtego mkubwa sana kwake akiyumba akatoa vyeti hadharani basi anafutwa ukuu wa mkoa na mwajili wake
Sio mtaalamu sana na mimi ni MTU nayefuatilia siasa kiasi Fulani. Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya hawa sio watumishi wa serikali ni wanasiasa na wanawakilisha chama husika katika nchi na kwa hapa Tanzania wanawakilisha bendera ya ccm kwa kuwa ndio chama tawala so wapo kisiasa na sio kiutumishi "Political Appointees"
Ndugu fuatilia kidogo ujue utofauti kati ya Politician na Employee hapa Tanzania maana bado unachanganya mambo kidogo.
Kama ni Mtumishi why anavaa nguo ya chama chake katika kikao? Kuna mtumishi anafanya hivyo awapo kazini hata kama ni mwanachama wa chama fulani?
Tupo kuelimishana na sio kuzozana ndugu lijue hili na mwengine kibao kupitia mitandao ya kijamii kama hii.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Sonko na Makonda

Makonda hawezi Onyesha vyeti kwa sababu yeye siyo Mwanasiasa, Mtumishi aombwi vyeti na watu tu alafu na yeye akaonyesha

Mtumishi anaombwa vyeti na boss wake ambaye ni mwajili wake na siyo tu mtu kuandika Facebook au Jamii Forum kuomba vyeti vya mtu akatoa na kuweka kwenye media

Narudia Makonda siyo mwanasiasa ndio maana hawezi onyesha vyeti vyake huu ni mtego mkubwa sana kwake akiyumba akatoa vyeti hadharani basi anafutwa ukuu wa mkoa na mwajili wake
Umejitahid kidogo but kama vipo mjomba Jack soon an anaibukia mahakaman so tutajua tu
 
Na bado atazidi kuwanyoosha

Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.

Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeee
Makonda au daud bashite?
 
Mkuu makonda ni public figure lazima public ijiridhishe kwamba kiongozi wao hana makando kando msilete usanii kwenye hili toa vyeti win your trust back

Afu mnafanya watoto waome elimu haina maana weka vyeti baba
Wasipojiridhisha itakuwaje
 
Ndio tunakumbuka....lakini kwanini wasimuumbue huko mahakamani....ambapo atahukumiwa kwa mujibu wa sheria....!???

Mimi nadhani hii ndio sababu mujarabu ya kumuondoa huyo Makonda kwenye nafasi yake
That is political willing ,wakati mwingine ni vyema kuwajibu maadui zako kwa njia za wazi ili kuwafunga midomo
 
Kwa sababu mpaka muda huu....hataki kwa sababu anazo zijua mwenyewe.....kwa kuwa hili lipo kisheria na lina adhabu yake kwa mujibu wa sheria kwanini....sheria isifuatwe......ili tufahamu mbivu na mbichi......kwa hali ilivyo sasa hivi.....mimi binafsi nimebaki nusu kwa nusu.....kuwa inawezekana akawa anasingiziwa.....au inawezekana ikawa ni kweli.......

Sasa ili kumaliza utata kwanini hili shauri lisipelekwe mahakamani.....kama kweli vielelezo vyote vya kumuweka hatiani Makonda....!??

Kwanini linazungumzwa kwenye majukwaa ya kisiasa tu.....!!!!

Tumeshasikia tuhuma nyingi za wanasiasa dhidi ya watu waliotufautiana nao kisiasa.....ambao mwishowe wamekuwa mashujaa kwenye upande huuo huo wa waliokuwa wakiwatuhumu.......
Kwa mtazamo wako unaweza kuniambia ni sababu zipi zinamfanya ashindwe kuonesha mpaka nguvu ya kisheria itumike? Je unadhani ni kwanini Baraza la mitihani halijishughulishi kufuatilia suala hili ikiwa ni wajibu wao kwakuwa taarifa zimetolewa kwenye vyombo vya habari kwamba Paul makonda ametumia cheti cha mtu? Kwanini unadhani ni wananchi wanaopaswa kwenda mahakamani kumshtaki?
 
Back
Top Bottom