Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Mpaka azaeMakonda kazaaa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka azaeMakonda kazaaa tu
Wacha maneno mingi weka chetiNa bado atazidi kuwanyoosha
Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.
Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeee
Kwanini mpaka twende mahakamani yeye anaona ugumu gani kuonesha mpaka tumpeleke mahakamani?Mimi hili suala lifikie mwisho......ingekuwa vyema wanaorusha tuhuma waende mahakamani......nadhani huko ndiko mheshimiwa makonda atakapoumbuliwa kwa mujibu wa sheria.......kwa kuwa inatambulika kuwa kughushia vyeti vya kitaaluma ni kosa kisheria na lina adhabu zake kwa mujibu wa sheria........
Kwanini unaona ni vigumu sana kwa makonda kuonesha cheti mpaka apelekwe mahakamani?Ndio tunakumbuka....lakini kwanini wasimuumbue huko mahakamani....ambapo atahukumiwa kwa mujibu wa sheria....!???
Mimi nadhani hii ndio sababu mujarabu ya kumuondoa huyo Makonda kwenye nafasi yake
Kwanini mpaka twende mahakamani yeye anaona ugumu gani kuonesha mpaka tumpeleke mahakamani?
Uchi tena?!Sheria za uchi? Zikoje?
Sijaelewa
Kasome post noloi quoteUchi tena?!
Sio mtaalamu sana na mimi ni MTU nayefuatilia siasa kiasi Fulani. Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya hawa sio watumishi wa serikali ni wanasiasa na wanawakilisha chama husika katika nchi na kwa hapa Tanzania wanawakilisha bendera ya ccm kwa kuwa ndio chama tawala so wapo kisiasa na sio kiutumishi "Political Appointees"Kuna tofauti kubwa kati ya Sonko na Makonda
Makonda hawezi Onyesha vyeti kwa sababu yeye siyo Mwanasiasa, Mtumishi aombwi vyeti na watu tu alafu na yeye akaonyesha
Mtumishi anaombwa vyeti na boss wake ambaye ni mwajili wake na siyo tu mtu kuandika Facebook au Jamii Forum kuomba vyeti vya mtu akatoa na kuweka kwenye media
Narudia Makonda siyo mwanasiasa ndio maana hawezi onyesha vyeti vyake huu ni mtego mkubwa sana kwake akiyumba akatoa vyeti hadharani basi anafutwa ukuu wa mkoa na mwajili wake
Umejitahid kidogo but kama vipo mjomba Jack soon an anaibukia mahakaman so tutajua tuKuna tofauti kubwa kati ya Sonko na Makonda
Makonda hawezi Onyesha vyeti kwa sababu yeye siyo Mwanasiasa, Mtumishi aombwi vyeti na watu tu alafu na yeye akaonyesha
Mtumishi anaombwa vyeti na boss wake ambaye ni mwajili wake na siyo tu mtu kuandika Facebook au Jamii Forum kuomba vyeti vya mtu akatoa na kuweka kwenye media
Narudia Makonda siyo mwanasiasa ndio maana hawezi onyesha vyeti vyake huu ni mtego mkubwa sana kwake akiyumba akatoa vyeti hadharani basi anafutwa ukuu wa mkoa na mwajili wake
Makonda au daud bashite?Na bado atazidi kuwanyoosha
Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.
Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeee
Kwani waliokua walioleta hiyo sera walikua hawana mawazo mpaka sisi tuwape mawazo? Hatiwezi kuwa na nchi ya viwanda kama tuna viongozi waliofoji vyeti kama bashite sawa?Haya mawazo ndio ya Taz ya viwonder??
Sio lazimaXtremely simple! Onyesha vyeti.! Hivi hapa
Wasipojiridhisha itakuwajeMkuu makonda ni public figure lazima public ijiridhishe kwamba kiongozi wao hana makando kando msilete usanii kwenye hili toa vyeti win your trust back
Afu mnafanya watoto waome elimu haina maana weka vyeti baba
That is political willing ,wakati mwingine ni vyema kuwajibu maadui zako kwa njia za wazi ili kuwafunga midomoNdio tunakumbuka....lakini kwanini wasimuumbue huko mahakamani....ambapo atahukumiwa kwa mujibu wa sheria....!???
Mimi nadhani hii ndio sababu mujarabu ya kumuondoa huyo Makonda kwenye nafasi yake
Kwa mtazamo wako unaweza kuniambia ni sababu zipi zinamfanya ashindwe kuonesha mpaka nguvu ya kisheria itumike? Je unadhani ni kwanini Baraza la mitihani halijishughulishi kufuatilia suala hili ikiwa ni wajibu wao kwakuwa taarifa zimetolewa kwenye vyombo vya habari kwamba Paul makonda ametumia cheti cha mtu? Kwanini unadhani ni wananchi wanaopaswa kwenda mahakamani kumshtaki?Kwa sababu mpaka muda huu....hataki kwa sababu anazo zijua mwenyewe.....kwa kuwa hili lipo kisheria na lina adhabu yake kwa mujibu wa sheria kwanini....sheria isifuatwe......ili tufahamu mbivu na mbichi......kwa hali ilivyo sasa hivi.....mimi binafsi nimebaki nusu kwa nusu.....kuwa inawezekana akawa anasingiziwa.....au inawezekana ikawa ni kweli.......
Sasa ili kumaliza utata kwanini hili shauri lisipelekwe mahakamani.....kama kweli vielelezo vyote vya kumuweka hatiani Makonda....!??
Kwanini linazungumzwa kwenye majukwaa ya kisiasa tu.....!!!!
Tumeshasikia tuhuma nyingi za wanasiasa dhidi ya watu waliotufautiana nao kisiasa.....ambao mwishowe wamekuwa mashujaa kwenye upande huuo huo wa waliokuwa wakiwatuhumu.......
Inaelekea unapenda sana UCHI.Sikujuwa kama kuna sheria za "uchi".
Inaelekea unapenda sana UCHI.Sikujuwa kama kuna sheria za "uchi".