Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Mimi nimetoa mfano wa mapambo Kama kampuni moja Tu hapo kwenye event....but kutakuwa na kampuni nyingi tofauti zinaipwa Kwa kila event

Iwe event au iwe visima ... bottomline ni government spending na inarudi Kwa wananchi....

Sometimes tafsiri yako ya "matumizi ya busara" inaweza isiwe sahihi...

Unless useme serikali hailipi matumizi ya msingi inalipa haya ya events zaidi
Point yangu Mimi kila matumizi ya serikali Yana boost uchumi....hata Kama Kwa macho ni matumizi yasiyo ya lazima..

Nimekuelewa Sana
Nimetofautiana na wewe kitu kimoja
Wewe unaamini kuna matumizi hayana umuhimu...Mimi naamini kila matumizi Yana umuhimu wake...
Kila industry ina watu ...iwe visima iwe events industry kote serikali itumie hela
Kila matumizi yana umuhimu wake - bwashee hapo imesema ukweli kabisa ndio sababu wengi tunatetea matumizi ya serikali zote
 
Hivi isingetosha tu kwa Msemaji wa Ikulu / Rais kuitisha Press Conference na kutupa Matokeo ya Sensa kisha Maisha yaendelee na Pesa iliyotengwa kwa Tukio / Hafla ya leo itumike kwa Mambo mengine Muhimu na ya Kidharula kwa Maendeleo ( Ustawi ) wa Watanzania na Tanzania yao?

Kuna wakati Watu wengine huwa wanatulazimisha akina GENTAMYCINE tuwadharau kwa kufanya Vitu ambavyo kwa Umasikini mkubwa uliopo kwa Watanzania wala hayakupaswa Kufanyika na hata Watu wenye Akili Kubwa kamwe wasingethubutu kufanya hivyo kwani Taifa linapoteza Pesa kwa Jambo la Kawaida sana..

Kasirikeni ila mkiharibu nitawasema.
Mbaya zaidi ni kuwa ofisi zote za umma zimefungwa na watumishi wamelazimishwa kwenda uwanjani!
 
Serikali ifanye spending sehemu sahihi, kwenye miradi ya maji, umeme, afya n.k
Huko unakoita kufuja pesa nako kunachochea uchumi
Imagine wewe Leo ingekuwa kampuni yako inalipwa kutokana na mapambo Tu ya event husika ...ungesema kuna ufujaji?...serikali ikitumia hela zinarudi Kwa wananchi...ni Bora government spending kuliko kubana bana matumizi kupita kiasi
 
Waungwana_
Nchi hii inatafunwa na walamba asali
..hili soko la machinga Dodoma ni uhuni na ufisadi tupu
... taarifa za awali gharama ni 9B
CAG afanye special audit (VALUE FOR MONEY)

Kodi zetu zinatumika isivyo
Bro lipa kodi ndio uzalendo, matumizi usiulize . nini bana? 😂
Bajeti iliyopitishwa na bunge (kumbuka bunge ni mahali patakatifu)ni Bilion 400, kuanzia kuhesabu watu kaya na kutangaza matokeo. Chenji ikibaki baadaya ya kutangaza tutaandaa sherehe ya kufa mtu Dodoma, ikibaki tunakwenda Dar es salaam. Ikabaki Zenji. Ndio democrasia yenyewe,

Hii ya kuuliza uliza matumizi sio uzalendo kabisa!
 
Huko unakoita kufuja pesa nako kunachochea uchumi
Imagine wewe Leo ingekuwa kampuni yako inalipwa kutokana na mapambo Tu ya event husika ...ungesema kuna ufujaji?...serikali ikitumia hela zinarudi Kwa wananchi...ni Bora government spending kuliko kubana bana matumizi kupita kiasi
Tuko na uchumi tunaoubust kwa tozo na mikopo alafu tunafanya jambo ambalo halina ulazima uko nikufuja.Yako mambo ya msingi sana ambayo yangeweza kufanyika na ela ikarudi vizuri kwa wananchi.Haya matukio mengine ni anasa na baada ya muda tutaanza kuambiwa ela kwa ajili ya jambo flani la muhimu haitoshi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kutangaza idadi ya watu mpaka pawepo na misafara ya v-8 wakati uswahili maji hayatoki bombani, hizo pesa wanazochezea wangekuwa wanazitumia hata kuchimba visima ningewaona wa maana, wao wanawaza anasa tu.
Afadhali umewaambia japo watajifanya kuwa hawajasikia! Ila mama na wasaidizi wake hupita sana hapa jamvini!
 
Shukurani zimekuwa nyingi mno hadi zinapoteza umaana na umuhimu
 
Hivi isingetosha tu kwa Msemaji wa Ikulu / Rais kuitisha Press Conference na kutupa Matokeo ya Sensa kisha Maisha yaendelee na Pesa iliyotengwa kwa Tukio / Hafla ya leo itumike kwa Mambo mengine Muhimu na ya Kidharula kwa Maendeleo ( Ustawi ) wa Watanzania na Tanzania yao?

Kuna wakati Watu wengine huwa wanatulazimisha akina GENTAMYCINE tuwadharau kwa kufanya Vitu ambavyo kwa Umasikini mkubwa uliopo kwa Watanzania wala hayakupaswa Kufanyika na hata Watu wenye Akili Kubwa kamwe wasingethubutu kufanya hivyo kwani Taifa linapoteza Pesa kwa Jambo la Kawaida sana..

Kasirikeni ila mkiharibu nitawasema.
Utapewa jina Baya lakini ukweli utabaki ukweli. Nilishangaa suala la Lishe kufanywa agenda kubwa wakati cha maana tulichoelezwa kinajulikana siku nyingi. Kuleni Kuku, mayai, mboga, samaki, maziwa. Msile nafaka zilizokobolewa Kwa wingi,
Hili Tu mpaka tutangaziwe na Rais na watu wakaambiwe Dodoma.
 
Back
Top Bottom