Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Yaani kutangaza tu idadi, mpaka budget.Hii nchi bwana. Miaka kumi ijayo tutakuwa million 100 . Maweeeee kwa huduma zipi za jamii ????
Umekosea

Watu milioni 100+ itakuwa 2050
 
Rais kadanganywa kwenye namba Jumla ni 61,741,130 na sio 61,741,120

Yaleyale ya Makamba!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitangaza Matokeo ya Sensa na Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 31 Oktoba, 2022

Samia Suhuhu Hassan - Rais
Nataka niitangazie dunia kuwa Sensa ya watu na makazi ya 2022 imefuata vigezo vilivyowekwa na umoja wa mataifa.

Tumeandika historia kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru, tumeweza kupata idadi ya majengo yote pamoja na anwani za makazi.

Leo hii tumefika ukingoni mwa zoezi la sensa tulilofanya kwa ufanisi mkubwa. Sensa hii imefuata vigezo vyote vya kimataifa.

Kwa mamlaka niliyopewa na katiba ya JMT ya mwaka 1977, nawatangazia kuwa Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120.

Watu 59,851,347 wapo Tanzanzia bara na 1,889,773 Tanzania zanzibar.

Wanawake wapo 31,687,990 sawa na asilimia 51 ya watu wote na wanaume ni 30,530,130 sawa na asilimia 49 ya watu wote.

Kati ya mwaka 2012 hadi 2022, ongezeko la watu ni sawa na asilimia 3.2

Tanzania bara, mkoa wa DSM unaongoza kwa watu nchini, wapo 5,383,728 sawa na asilimia 8.7 ya watu wote nchini, na mkoa wa pili ni mwanza wenye wakazi 3,696,872 sawa na asilimia 6.

Idadi ya mejengo ni 14,348,372

Upande wa shule, zipo 25,626 ambapo shule za msingi zipo 19,769 na shule za sekondari zipo 5857

Makadirio yanaonesha kuwa hadi kufikia mwaka 2025 Tanzania itakuwa na watu 67,962,097 na hadi kufikia mwaka 2050 idadi itafikia 151,252,429.

Asanteni kwa kunisikiliza, Mungu aibariki nchi yetu, Mungu aibariki Afrika. Asanteni sana kwa kunisikiliza.

Hizi takwimu zetu daah😵. nilitarajia tuwe zaiidi ya m65 hapa wordometer data ya 2020 inasema tuko 63M. something is wrong somewhere
 
Attachments

  • Screenshot_20221031_125729.png
    Screenshot_20221031_125729.png
    145.2 KB · Views: 3

Next time hakuna sababu ya kufanya zoezi la sensa kwa mabilioni ya pesa na kuja kufanya sherehe kwa sababu mifumo ipo na ifanye Kazi..

Mfano projections ya NBS na actual figures imetofautiana kwa 400k tuu..

Sasa kama tuna accuracy ya kiwango hicho kwenye projections kuna haja gani ya kutumia mabilioni ya pesa? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221031-123920.png
    Screenshot_20221031-123920.png
    221.2 KB · Views: 3
Hizi takwimu zetu daah😵. nilitarajia tuwe zaiidi ya m65 hapa wordometer data ya 2020 inasema tuko 63M. something is wrong somewhere
Zetu ndio sahihi sasa,hao worldometer ndio wanatakiwa kuleta uthibitisho wa Takwimu zao.
 
Keleuwiiiiiii!! Eti hii nchi ina sekondari 5800 😭😭😭😭😭😭 vyuo sijajua lakini tumekwama kwakweli?
 
Back
Top Bottom