Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Kila matumizi yana umuhimu wake - bwashee hapo imesema ukweli kabisa ndio sababu wengi tunatetea matumizi ya serikali zote
 
Mbaya zaidi ni kuwa ofisi zote za umma zimefungwa na watumishi wamelazimishwa kwenda uwanjani!
 
Serikali ifanye spending sehemu sahihi, kwenye miradi ya maji, umeme, afya n.k
 
Waungwana_
Nchi hii inatafunwa na walamba asali
..hili soko la machinga Dodoma ni uhuni na ufisadi tupu
... taarifa za awali gharama ni 9B
CAG afanye special audit (VALUE FOR MONEY)

Kodi zetu zinatumika isivyo
Bro lipa kodi ndio uzalendo, matumizi usiulize . nini bana? πŸ˜‚
Bajeti iliyopitishwa na bunge (kumbuka bunge ni mahali patakatifu)ni Bilion 400, kuanzia kuhesabu watu kaya na kutangaza matokeo. Chenji ikibaki baadaya ya kutangaza tutaandaa sherehe ya kufa mtu Dodoma, ikibaki tunakwenda Dar es salaam. Ikabaki Zenji. Ndio democrasia yenyewe,

Hii ya kuuliza uliza matumizi sio uzalendo kabisa!
 
Tuko na uchumi tunaoubust kwa tozo na mikopo alafu tunafanya jambo ambalo halina ulazima uko nikufuja.Yako mambo ya msingi sana ambayo yangeweza kufanyika na ela ikarudi vizuri kwa wananchi.Haya matukio mengine ni anasa na baada ya muda tutaanza kuambiwa ela kwa ajili ya jambo flani la muhimu haitoshi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kutangaza idadi ya watu mpaka pawepo na misafara ya v-8 wakati uswahili maji hayatoki bombani, hizo pesa wanazochezea wangekuwa wanazitumia hata kuchimba visima ningewaona wa maana, wao wanawaza anasa tu.
Afadhali umewaambia japo watajifanya kuwa hawajasikia! Ila mama na wasaidizi wake hupita sana hapa jamvini!
 
Shukurani zimekuwa nyingi mno hadi zinapoteza umaana na umuhimu
 
Utapewa jina Baya lakini ukweli utabaki ukweli. Nilishangaa suala la Lishe kufanywa agenda kubwa wakati cha maana tulichoelezwa kinajulikana siku nyingi. Kuleni Kuku, mayai, mboga, samaki, maziwa. Msile nafaka zilizokobolewa Kwa wingi,
Hili Tu mpaka tutangaziwe na Rais na watu wakaambiwe Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…