Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Wakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane...

Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi na madhubuti hazitachukuliwa kuhakikisha tunaongeza na kuwekeza kwenye kuzaa watoto wa kiume basi huko tuendako watoto wa kike watakosa wanaume wa kuhusiana hao kabisa iwe kwa ndoa au kwa ngono.

Imagine wanaume ni asilimia 49 na katika hao hujawatoa mashoga, mahanithi na wengine ambao hawana uwezo wa kuridhisha wanawake ki sex.

Mungu atuhurumie wana wa kike...

Ni mimi nakadori a.k.a mariamu mtarajiwa
tbc_online~p~CkX7O7Kt-5w~1.jpg
 
Ni mimi nakadori a.k.a maramu mtarajiwa
View attachment 2403069
Kati ya yote yaliyosema umeguswa na ngono tu. Kadori
 
Kati ya hao toa kaka zako na ndugu zako (5%) , toa Mapadre(2%) , toa Mashoga (3%), toa Walio gerezani (6%), toa Walemavu wa akili (2%) toa Mahanithi (1%)
49%-19% = Wanaume halisi ni 30% 😃😃😃
Umeona mkuu hali ilivyo ya hatari....
Asee wanaume inabidi walazimishwe kuoa wanawake 3 kila mmoja ili kupunguza huo uhaba
 
Wanaume tuko mil 30 na wanawake mil 30, hawa walioongezeka kwa wanawake ni wale mashoga... na malesbo...
 
Wakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane...

Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi na madhubuti hazitachukuliwa kuhakikisha tunaongeza na kuwekeza kwenye kuzaa watoto wa kiume basi huko tuendako watoto wa kike watakosa wanaume wa kuhusiana hao kabisa iwe kwa ndoa au kwa ngono.

Imagine wanaume ni asilimia 49 na katika hao hujawatoa mashoga, mahanithi na wengine ambao hawana uwezo wa kuridhisha wanawake ki sex.

Mungu atuhurumie wana wa kike...

Ni mimi nakadori a.k.a mariamu mtarajiwa
View attachment 2403069
Tofauti iliyopo sio kubwa kama mnavyoikuza, kimsingi Sensa hii imepunguza zaidi tofauti ya wanaume na wanawake kuliko sensa iliyopita.

Katika hao wanawake unaoona ni wengi asilimia zinazojihusisha na mahusiano zaidi( yaani kuwa na uhitaji wa ngono sana) sio kubwa sana kwa sababu wanawake wazee ni wengi sana kuliko wanaume wazee maana wanaume hufa mapema zaidi.

Hata ukitoa hao wanaume waliamua kuhama jinsia zao bado hakuna tofauti kubwa sana kama ulivyoikuza wewe, ndio maana hata sasa kuna wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja na ukitafuta wanawake walio single kabisa utapata wachache sana tena wengine ni maamuzi yao tu
 
Umeona mkuu hali ilivyo ya hatari....
Asee wanaume inabidi walazimishwe kuoa wanawake 3 kila mmoja ili kupunguza huo uhaba
Naunga mkono hoja, inatakiwa kwa wanaume iwe ruksa mwanamke zaidi ya mmoja... ipitishwe tu hii...
 
Wanaume tuko mil 30 na wanawake mil 30, hawa walioongezeka kwa wanawake ni wale mashoga... na malesbo...
Hapana Tanzania ukishakuwa na matiti na kukojoa ukiwa umechuchumaa na ukawa na uke wewe ni mwanamke, na me ni yeyote mwenye uume ...sisi hatujafikia huko kwenye kuwatambua mashoga kama ke....na lesbo kama me
 
Tofauti iliyopo sio kubwa kama mnavyoikuza, kimsingi Sensa hii imepunguza zaidi tofauti ya wanaume na wanawake kuliko sensa iliyopita.

Katika hao wanawake unaoona ni wengi asilimia zinazojihusisha na mahusiano zaidi( yaani kuwa na uhitaji wa ngono sana) sio kubwa sana kwa sababu wanawake wazee ni wengi sana kuliko wanaume wazee maana wanaume hufa mapema zaidi.

Hata ukitoa hao wanaume waliamua kuhama jinsia zao bado hakuna tofauti kubwa sana kama ulivyoikuza wewe, ndio maana hata sasa kuna wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja na ukitafuta wanawake walio single kabisa utapata wachache sana tena wengine ni maamuzi yao tu
Mkuu nashukuru kwa uchambuzi huu... ni kweli sensa iliyopita tofauti kati ya wanaume na wanawake ilikuwa kubwa kulingana na hii ya sasa....ila bado tofauti ki uhalisia huku mtaani ni kubwa...(labda ni error za kiutafiti).

Kama hutajali ninaomba utuwekee ile pie chart ya distribution ya wanaume i.e. watu wazima wazee, vijana na umri wa kati...

Hali mtaani sio nzuri sana maana wanawake wengi wanakosa me
 
Mungu akubariki.😀😀😀. mkiwa wote mna huo mtazamo dunia itakua eneo zuri sana kuishi...
Hahah wanaume wengi kuwa na ke mmoja ni uongo....sa bora ihalalishwe tu kuliko kuibia
 
Kati ya hao toa kaka zako na ndugu zako (5%) , toa Mapadre(2%) , toa Mashoga (3%), toa Walio gerezani (6%), toa Walemavu wa akili (2%) toa Mahanithi (1%)
49%-19% = Wanaume halisi ni 30% [emoji2][emoji2][emoji2]
Kwamba Tanzania nzima una ndugu 1.5mil?
Kwamba Tanzania nzima kuna Mapdre 600,000?

Kwamba Tanzania nzima kuna Mashoga 1.8mil?

Kwamba Tanzania nzima kuna Wafungwa na Mahabusu 1.8mil? Jumla ya wafungwa na mahabusu ni chini ya 35,000/ hii yajumuisha wakiume na wa kike

Kwamba mahanithi ni 300,000?
 
Gap la utofauti wa idadi kati ya wanaume na wanawake limepungua...

Pia, katika idadi hiyo ya wanawake na wanaume iliyotajwa, ili kuwa na uhakika zaidi wa ulichokiandika inabidi upate idadi ya rika lililo katika uhitaji wa kuoa/kuolewa...

Kitakwimu unaweza ukakuta wanawake ni wengi, lakini asilimia hiyo inajazwa na wazee (kama rate ya kufa ya wanawake ni ndogo) au watoto wadogo wa kike (labda katika kipindi fulani wamezaliwa idadi kubwa kuliko wale wa kiume)...
 
Back
Top Bottom