Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Habari wana MMU,

Kutokana na matokeo ya Sensa mwaka 2022, idadi ya watanzania wote ni takribani milioni 61 (61,741,120) ambapo kutokana na takwimu hizi inasemekana takribani milioni 30 (30,053,130) ni wanaume na idadi iliyobaki ya milioni 31 ( 31,687,990) ni wanawake.

Hii ni sawa na asilimia 49 ya wanaume wote na 51 ya wanawake wote. Hii inadhihirisha almost idadi ya wanawake na wanaume nchini ni sawa, na ule usemi wa wanawake wengi kushinda wanaume nchini kwetu unaonekana haufanyi kazi.

Je,hii inaweza ikawa ndo nafasi inayotumiwa na wanawake kubania mbususu zao, pamoja na kuringa!!?? Ukizingatia idadi yao na yetu zinafanana!!??
Screenshot_20221101-103305-1.jpg
 
Zinalingana kivipi? Kuna wanawake karibu Milioni Moja na laki sita zaidi ya wanaume, huu utofauti ni mkubwa sana usikadirie kirahisi hivyo.
 
Habari wana MMU,

Kutokana na matokeo ya Sensa mwaka 2022, idadi ya watanzania wote ni takribani milioni 61 (61,741,120) ambapo kutokana na takwimu hizi inasemekana takribani milioni 30 (30,053,130) ni wanaume na idadi iliyobaki ya milioni 31 ( 31,687,990) ni wanawake.

Hii ni sawa na asilimia 49 ya wanaume wote na 51 ya wanawake wote. Hii inadhihirisha almost idadi ya wanawake na wanaume nchini ni sawa, na ule usemi wa wanawake wengi kushinda wanaume nchini kwetu unaonekana haufanyi kazi.

Je,hii inaweza ikawa ndo nafasi inayotumiwa na wanawake kubania mbususu zao, pamoja na kuringa!!?? Ukizingatia idadi yao na yetu zinafanana!!??View attachment 2403719
Mmh umeringiwa?
 
Yaani kwenye mada yako unaji contradict mwenyewe, kwenye takwimu unatoa wanawake ni wengi kuliko wanaume at the same time umasema wanaume na wanawake ni almost tupo sawa
 
Takwimu ziko hivii
Wanawake 18 and above ni 30ml
Wanawake under 18 ni 1ml na ushee
Wanaume 18 and above ni 5ml
Wanaume under 18 ni 25ml
Kwahyo nani huyoo kakuringia?
 
Takwimu ziko hivii
Wanawake 18 and above ni 30ml
Wanawake under 18 ni 1ml na ushee
Wanaume 18 and above ni 5ml
Wanaume under 18 ni 25ml
Kwahyo nani huyoo kakuringia?
Duuh!! We hii umetoa wapi!!???
 
Takwimu ziko hivii
Wanawake 18 and above ni 30ml
Wanawake under 18 ni 1ml na ushee
Wanaume 18 and above ni 5ml
Wanaume under 18 ni 25ml
Kwahyo nani huyoo kakuringia?
Hizo ni tawkimu za NBS? Kama ni hivyo basi baada ya muda hawa wanaume under 18 ambao ni Mil 25 - wakikuwa na kuwa above 18; kutakuwa na uhaba mkubwa wa mademu. Hivyo bora wanaume tuchangamke tuoe wanawake wengi sasa.
 
Dah! pole kwa kuringiwa, nakushauri usiwaendee kishamba
 
Hizo ni tawkimu za NBS? Kama ni hivyo basi baada ya muda hawa wanaume under 18 ambao ni Mil 25 - wakikuwa na kuwa above 18; kutakuwa na uhaba mkubwa wa mademu. Hivyo bora wanaume tuchangamke tuoe wanawake wengi sasa.
Sidhani kama anavyosema ni kweli
 
Back
Top Bottom