Na hili nalo mkalitizame
Huwa naumia sana kuona wanaume tunazidi kujishusha na kujipotezea thamani ilihali tu first preority katika uumbaji wa Mola, tena alitufinyanga kwa mikono yake mwenyewe
Mwanaume hakutakiwa kuwa mtu wa kuumiza kichwa kwenye mambo yasiyo ya msingi. Mwanaume anatakiwa kuwa kichwa cha familia yake na hata siku moja asijaribu kujibizana na kichwa cha mwanamke kwa kuwa ubongo wa mkewe umetokana na ubavu wake. Just imagine kiubavu kichanga cha mwanaume ndicho kilichotengeneza mwili mzima wa mwanamke kuanzia sura nzuri aliyonayo, figure, rangi na hata ubongo alionao
Huwa naumia sana kukutana na jianaume linalia lia huku machozi yake ya aibu yakiambatana na mafua makali yenye radi juu pamoja na kupanda na kushuka, ukimuuliza sababu anakwambia Nasra kaniumiza. Shwain[emoji35] Nikikutana na mwanaume wa hivi namtandika viboko hadharani
Unalikuta jianaume limepiga magoti huku linaushika mguu wa bia wa binti tena ambaye si mkewe huku linaomba msamaha [emoji35] Tandika kabisa bakora, huko ni kushusha heshima ya mwanaume
Unamkuta mwanaume anatongoza mwanamke zaidi ya mara mbili, imekuwa wimbo wa taifa kusema unamkaririsha verse? Mwanamke anatakiwa kutongozwa mara moja, akizingua achana naye[emoji35] Sasa bwana mkubwa, na mkuyenge wako wote ulionao unamkimbilia binti aliyekukata mithili ya mbwa yatima aliyekosa matunzo, unatafuta nini [emoji35]
Unamkuta mwanaume tena bila aibu anambembeleza mtoto wa kike kwenye simu eti aje gheto. Kuwa'Ock kabisa[emoji35] Inaumiza sana. Piga simu, mwambie nakutumia elfu ishilini uje chap, kata simu! Ambatanisha muamala! Mambo ya kulia lia huo ni umama
Unakuta mwanaume amekaa na mwanamke somewhere eti wanazungumza na kupanga maisha! Maaaishaaa! Ala! Kasema nani, na unakuta hakuna kitu cha maana wanachozungumza zaidi ya kuwasema watu tu pamoja na ma ex wao! Mwanaume unapata wapi muda huo? Tafuta pesa, acha ujinga!
Unakuta mwanaume anajishusha thamani kupita kiasi, kweli mwanaume unafikia hatua ya kuzama chumvini, kupiga deki 0715 ya mwanamke! Unatumia 15k kununua olive oil, eti unam massage apate stimu ili akojoe!? Yaani nauli utoe wewe, tuma na ya kutolea ni wewe, baby naumwa ni wewe, baby simu imepasuka kioo ni wewe halafu bado unajihangaisha kiasi hicho? Nitaanza kupita kwenye magesti mlango hadi mlango nikikukuta unafanya foreplay ni viboko kwa kwenda mbele
Unamkuta mwanaume anakwambia mmoja tu anatosha, kwa hiyo hao 1,634,860 waliobaki unatarajia wataolewa na nani? Nakuuliza, nipe jibu [emoji35]
Jana nimepita kiwanja X, nimekutana na kibinti kama cha chuo hivi kinakula pweza huku kinamuuliza muuzaji, ishafika shn'gapi? "elfu 40" Muda huo dume X lenye kitambi chake linaumia tu sema linashindwa kusema, shwain[emoji35] Nisingekuwa nawahi familia ningewacharaza bakora hadharani
Mwanaume ukijiskia, panda, piga tako zako mbili, kojoa, shuka, ulale! Kama ajakojoa mwambie apande apige pande zake 40 akojoe alale! Akishindwa, mwambie anywe jagi tatu za maji atakojoa akiwa usingizini[emoji35]
Wanaume turejee uanaume wetu, tuache utoto! Tazama tunavyozidi kupukutishwa na akili za hawa viumbe, fanyeni masihara, tutakwisha! [emoji24][emoji24][emoji24]
Sensa ijayo tutabaki 21m out of 61m. Hamtaamini! Mikuyenge unatokomea wakuu!
Nawasilisha, uzi ulindwe!