Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Kati ya hao toa kaka zako na ndugu zako (5%) , toa Mapadre(2%) , toa Mashoga (3%), toa Walio gerezani (6%), toa Walemavu wa akili (2%) toa Mahanithi (1%)
49%-19% = Wanaume halisi ni 30% [emoji2][emoji2][emoji2]

Masista 5%, wasagaji 3%, wanawake gerezani 2%, wanawake walemavu wa akili 2% toa wagumba 1% wanawake halisi 31%[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tofauti iliyopo sio kubwa kama mnavyoikuza, kimsingi Sensa hii imepunguza zaidi tofauti ya wanaume na wanawake kuliko sensa iliyopita.

Katika hao wanawake unaoona ni wengi asilimia zinazojihusisha na mahusiano zaidi( yaani kuwa na uhitaji wa ngono sana) sio kubwa sana kwa sababu wanawake wazee ni wengi sana kuliko wanaume wazee maana wanaume hufa mapema zaidi.

Hata ukitoa hao wanaume waliamua kuhama jinsia zao bado hakuna tofauti kubwa sana kama ulivyoikuza wewe, ndio maana hata sasa kuna wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja na ukitafuta wanawake walio single kabisa utapata wachache sana tena wengine ni maamuzi yao tu
uko single?
 
Wakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane...

Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi na madhubuti hazitachukuliwa kuhakikisha tunaongeza na kuwekeza kwenye kuzaa watoto wa kiume basi huko tuendako watoto wa kike watakosa wanaume wa kuhusiana hao kabisa iwe kwa ndoa au kwa ngono.

Imagine wanaume ni asilimia 49 na katika hao hujawatoa mashoga, mahanithi na wengine ambao hawana uwezo wa kuridhisha wanawake ki sex.

Mungu atuhurumie wana wa kike...

Ni mimi nakadori a.k.a mariamu mtarajiwa
View attachment 2403069
Mimi nishamwambia shemeji ako. Atafute mchumba mwingine tuwe wawili maisha ndo haya haya
 
Kati ya hao toa kaka zako na ndugu zako (5%) , toa Mapadre(2%) , toa Mashoga (3%), toa Walio gerezani (6%), toa Walemavu wa akili (2%) toa Mahanithi (1%)
49%-19% = Wanaume halisi ni 30% 😃😃😃
Hata kwa upande wa Wanawake pia ni hivyo. Miongoni mwao wapo Lesbians (wasagaji), wafungwa, vichaa wa akili, wasiokiwa na nguvu za kike(ashiki ya kufanya tendo) inayopelekea kukataa kabisa kuolewa na kuwachukia wanaume. Pia wapo wasiokuwa na "hadhi" au qualities za kuwa wife material na hawa kwenye hili kundi ni wengi sana katika jamii.

Hivyo mwisho wa siku ukipiga mahesabu utaona idadi ya Wanaume halisi haipishani sana na idadi ya Wanawake wenye qualities za kuwa wife material.
 
Back
Top Bottom