Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Kama ni kuoa, wanawake bado ni wachache ukizingatia ukweli kuwa mwanamke akishafika miaka 40 uzazi unakuwa shida na 45 wengi unakoma kabisa (kama hajaolewa ndiyo basi tena) tofauti na wanaume ambao hata above 60 anaoa na anazalisha.

Wanaodai wanawake wanaringa kwa wingi wao wanapaswa waseme wanawake wanaoweza kuolewa na kuzaa 18-40 years ni wangapi na wanaume wanaoweza kuoa na kuzalisha 18-60 ni wangapi. Hapo ndipo kila kundi litamringia vizuri mwenzake.
 
Kama ni kuoa, wanawake bado ni wachache ukilinganisha ukweli kuwa mwanamke akishafika miaka 40 uzazi unakuwa shida tofauti na wanaume ambao hata above 60 anaoa na anatia mimba.

yaani wanaodai wanawake wanaringia hilo wanapaswa waseme wanawake wanaoweza kuolewa na kuzaa 18-40 years ni wangapi na wanaume wanaowez akuoa 18-60 ni wangapi? Hapo ndipo kila kundi lingemringia vizuri mwenzake.
Yeah!! Lakini katika wanawake hao millioni 31 naweza kukwambia millioni 9 ni chini ya miaka 18, milioni 2 wenye magonjwa makubwa(hawawezi date), milioni 6 wameolewa, laki tano ni wanawake wabaya, na milioni 1.5 ni majike dume.
Kwa hiyo wanawake milioni 18 ndio wapo okay okay na pisi zenye kuleta mvuto na kugombewa, je, wanaume milioni 30 tutatosha!!?? Me nahisi wanawake watatuonea sana kwenye mbususu
 
Habari wana MMU,

Kutokana na matokeo ya Sensa mwaka 2022, idadi ya watanzania wote ni takribani milioni 61 (61,741,120) ambapo kutokana na takwimu hizi inasemekana takribani milioni 30 (30,053,130) ni wanaume na idadi iliyobaki ya milioni 31 ( 31,687,990) ni wanawake.

Hii ni sawa na asilimia 49 ya wanaume wote na 51 ya wanawake wote. Hii inadhihirisha almost idadi ya wanawake na wanaume nchini ni sawa, na ule usemi wa wanawake wengi kushinda wanaume nchini kwetu unaonekana haufanyi kazi.

Je,hii inaweza ikawa ndo nafasi inayotumiwa na wanawake kubania mbususu zao, pamoja na kuringa!!?? Ukizingatia idadi yao na yetu zinafanana!!??View attachment 2403719
🤔🤔🤔🤔 ndugu muandishi sasa nishaanza kupata picha ss kwann wanaringa
 
Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA, kwa sababu wao ni wengi kushinda WANAUME
Mkuu labda kama una tatizo nao ila mbona wapo kawaida tu hadi na maombi wanaenda ili watupate wanaume. Jichanganye nao mkuu alafu usiwawaze sana watakusumbua akili.
 
Bora wewe umeelewa hiyo idadi kimahesabu ni kama iko sawa maana wengi hawaelewi
 
Yeah!! Lakini katika wanawake hao millioni 31 naweza kukwambia millioni 9 ni chini ya miaka 18, milioni 2 wenye magonjwa makubwa(hawawezi date), milioni 6 wameolewa, laki tano ni wanawake wabaya, na milioni 1.5 ni majike dume.
Kwa hiyo wanawake milioni 18 ndio wapo okay okay na pisi zenye kuleta mvuto na kugombewa, je, wanaume milioni 30 tutatosha!!?? Me nahisi wanawake watatuonea sana kwenye mbususu
hawawezi kukuonea maana wanahitaji banana. tatizo ni wanaume wenyewe kujifanya tunatafuta pesa mpaka tunasahau wajibu wetu wa kuzitafuna hizo mbususu😀😀😀...na unajua mwanaume si malaya maana by nature is a polygamist. Kila siku yuko hot.
 
Back
Top Bottom