Kati ya yote yaliyosema umeguswa na ngono tu. KadoriWakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane...
Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi na madhubuti hazitachukuliwa kuhakikisha tunaongeza na kuwekeza kwenye kuzaa watoto wa kiume basi huko tuendako watoto wa kike watakosa wanaume wa kuhusiana hao kabisa iwe kwa ndoa au kwa ngono.
Imagine wanaume ni asilimia 49 na katika hao hujawatoa mashoga, mahanithi na wengine ambao hawana uwezo wa kuridhisha wanawake ki sex.
Mungu atuhurumie wana wa kike...
Ni mimi nakadori a.k.a maramu mtarajiwa
View attachment 2403069
Umeona mkuu hali ilivyo ya hatari....Kati ya hao toa kaka zako na ndugu zako (5%) , toa Mapadre(2%) , toa Mashoga (3%), toa Walio gerezani (6%), toa Walemavu wa akili (2%) toa Mahanithi (1%)
49%-19% = Wanaume halisi ni 30% πππ
Tofauti iliyopo sio kubwa kama mnavyoikuza, kimsingi Sensa hii imepunguza zaidi tofauti ya wanaume na wanawake kuliko sensa iliyopita.Wakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane...
Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi na madhubuti hazitachukuliwa kuhakikisha tunaongeza na kuwekeza kwenye kuzaa watoto wa kiume basi huko tuendako watoto wa kike watakosa wanaume wa kuhusiana hao kabisa iwe kwa ndoa au kwa ngono.
Imagine wanaume ni asilimia 49 na katika hao hujawatoa mashoga, mahanithi na wengine ambao hawana uwezo wa kuridhisha wanawake ki sex.
Mungu atuhurumie wana wa kike...
Ni mimi nakadori a.k.a mariamu mtarajiwa
View attachment 2403069
Naunga mkono hoja, inatakiwa kwa wanaume iwe ruksa mwanamke zaidi ya mmoja... ipitishwe tu hii...Umeona mkuu hali ilivyo ya hatari....
Asee wanaume inabidi walazimishwe kuoa wanawake 3 kila mmoja ili kupunguza huo uhaba
Hapana Tanzania ukishakuwa na matiti na kukojoa ukiwa umechuchumaa na ukawa na uke wewe ni mwanamke, na me ni yeyote mwenye uume ...sisi hatujafikia huko kwenye kuwatambua mashoga kama ke....na lesbo kama meWanaume tuko mil 30 na wanawake mil 30, hawa walioongezeka kwa wanawake ni wale mashoga... na malesbo...
Tatizo mna wivu sana ! Mkimpata mmoja hamtaki kushareUmeona mkuu hali ilivyo ya hatari....
Asee wanaume inabidi walazimishwe kuoa wanawake 3 kila mmoja ili kupunguza huo uhaba
Na Mungu akupe hitaji la moyo wako !Me kwa hali hii nipo tayari kushare kabisa... ndo maana nabadili dini mda wowote niitwe mariamu
Yaani mwanamke ushee??Me kwa hali hii nipo tayari kushare kabisa... ndo maana nabadili dini mda wowote niitwe mariamu
Mkuu nashukuru kwa uchambuzi huu... ni kweli sensa iliyopita tofauti kati ya wanaume na wanawake ilikuwa kubwa kulingana na hii ya sasa....ila bado tofauti ki uhalisia huku mtaani ni kubwa...(labda ni error za kiutafiti).Tofauti iliyopo sio kubwa kama mnavyoikuza, kimsingi Sensa hii imepunguza zaidi tofauti ya wanaume na wanawake kuliko sensa iliyopita.
Katika hao wanawake unaoona ni wengi asilimia zinazojihusisha na mahusiano zaidi( yaani kuwa na uhitaji wa ngono sana) sio kubwa sana kwa sababu wanawake wazee ni wengi sana kuliko wanaume wazee maana wanaume hufa mapema zaidi.
Hata ukitoa hao wanaume waliamua kuhama jinsia zao bado hakuna tofauti kubwa sana kama ulivyoikuza wewe, ndio maana hata sasa kuna wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja na ukitafuta wanawake walio single kabisa utapata wachache sana tena wengine ni maamuzi yao tu
Mungu akubariki.πππ. mkiwa wote mna huo mtazamo dunia itakua eneo zuri sana kuishi...Kihalali kabisa ila sio kwa kificho
Kwamba Tanzania nzima una ndugu 1.5mil?Kati ya hao toa kaka zako na ndugu zako (5%) , toa Mapadre(2%) , toa Mashoga (3%), toa Walio gerezani (6%), toa Walemavu wa akili (2%) toa Mahanithi (1%)
49%-19% = Wanaume halisi ni 30% [emoji2][emoji2][emoji2]