Sensa kwenye jicho la kimahusiano

Kati ya hao toa kaka zako na ndugu zako (5%) , toa Mapadre(2%) , toa Mashoga (3%), toa Walio gerezani (6%), toa Walemavu wa akili (2%) toa Mahanithi (1%)
49%-19% = Wanaume halisi ni 30% [emoji2][emoji2][emoji2]

Masista 5%, wasagaji 3%, wanawake gerezani 2%, wanawake walemavu wa akili 2% toa wagumba 1% wanawake halisi 31%[emoji38][emoji38][emoji38]
 
uko single?
 
Mimi nishamwambia shemeji ako. Atafute mchumba mwingine tuwe wawili maisha ndo haya haya
 
Kati ya hao toa kaka zako na ndugu zako (5%) , toa Mapadre(2%) , toa Mashoga (3%), toa Walio gerezani (6%), toa Walemavu wa akili (2%) toa Mahanithi (1%)
49%-19% = Wanaume halisi ni 30% πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hata kwa upande wa Wanawake pia ni hivyo. Miongoni mwao wapo Lesbians (wasagaji), wafungwa, vichaa wa akili, wasiokiwa na nguvu za kike(ashiki ya kufanya tendo) inayopelekea kukataa kabisa kuolewa na kuwachukia wanaume. Pia wapo wasiokuwa na "hadhi" au qualities za kuwa wife material na hawa kwenye hili kundi ni wengi sana katika jamii.

Hivyo mwisho wa siku ukipiga mahesabu utaona idadi ya Wanaume halisi haipishani sana na idadi ya Wanawake wenye qualities za kuwa wife material.
 
msijali sisi wanaume tuliopo, we will fegure it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…