Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Aliniacha Hoi qliponiuliza, jee una pasi ya umeme? Nikamjibu ndio. Jee na ya mkaa? Nikakumbuka ninayo ila sijui kule store imewekwa eneo gani maana mara ya mwisho kuitumia ni wakati wa mgao mkali wa umeme 2009 Rais akiwa Kikwete.
Michosho mitupu!
Hoja gani iliyokosa mashiko hapo!? Kwa ninavyoona bichwa lako!/ama brain yako ndio imekosa mashiko! Mtoa mada ana hoja sensitive kabisa.Hoja zako zimekosa mashiko inaonyesha unapinga vitu vilivyo juu ya uelewawa wako.
Lengo ilikuwa ni kuvuta muda watu wapige pesaWanauliza maswali yasiyo na miguu wala kichwa.
Haya maswali hata mwaka 2012 wakati tupo enzi za giza hayakuwepo...
Ukiachana na majina tofauti iko wapi mkuu?Nadhani kuna tofauti kati ya Survey na Sensa.
Ukiwasikia wakizngmzia haya mambo ya kidigitali utadhani wako serious, hakuna kitu. Hivo vtamblisho va NIDA mpaka leo kna watu hawana! Wanaulizia pasi lkn sio friji, wanaulizia baskeli, lkn sio pkpk, ukubwa wa shamba lkn sio idadi ya mabasi au viwanda au umiliki wa miradi mingne -wanataka nini! Hawakuniuliza kuh uptknaj wa maji, umeme, wala mambo muhimu ya umbali wa shule, afya...nk. Nmeona ss wanafanya ya makazi na wanauliza maswli ambayo wangeuliza walipoanza hii shghli inayokula mapesa mengi, ingepngza ghrama.Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.
Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.
Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:
1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.
2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.
3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.
4. Kitambulisho cha ujasiriamali
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?
5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".
6. Uzazi na vifo
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.
7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.
Ongezeeni mengineyo...
Mlifanya nini ambacho sensa hii haijafanya? Tatizo uwekezaji katika hizo sensa haukuwa mkubwa kama huu. Hivyo unaona kana kwamba kuna kufaidi nawe si mmojawapo. Hii ipo kidigitali zaidi. Toa mfano wa athari ya hiyo loophole unayoiona wewe! [emoji1241]Kitendo cha kutokuona loophole kwenye hilo dodoso lao ujue wewe ndiyo hamnazo kabisa...
Tatizo hii ndiyo mara yenu ya kwanza kushiriki sensa, tuulizeni tuliokuwepo 2002 na 2012.
Nadhani mtoa mada yuko kishabiki zaidi kuliko kiweredi....ni vizuri kujikita kwenye utafiti wa kina zaidi ili unapokosoa ukosoe ukiwa na hoja za msingi kuliko kupiga porojo tu za kutafuta kiki kwasababu sensa ni inshu inayotrend kwasasa....ni aibu kwa mtu msomi kuchambua mambo ambayo hata kijana wangu wa darasa la tano anaweza kufanya
Namba za NIDA zipo NBS?????? Tangu lini?Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.
Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.
Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:
1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.
2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.
3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.
4. Kitambulisho cha ujasiriamali
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?
5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".
6. Uzazi na vifo
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.
7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.
Ongezeeni mengineyo...
Kumbe upo mtupu hivi!!! SikujuaUkiachana na majina tofauti iko wapi mkuu?
Ni mashiko gani yamekosekana kwenye hoja za mtoa uzi?Hoja zako zimekosa mashiko inaonyesha unapinga vitu vilivyo juu ya uelewawa wako.
Hii ni muhimu mbona bro. Nadhani lengo kuu la kuuliza assets ni kutaka kujua idadi ya wanaomiliki vitu na wasiomiliki,,,hii ni nzuri katika determination ya poverty level and gap between have and have nots.Mimi niliulizwa Kama namiliki Jembe[emoji1787][emoji1787]