Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

Aliniacha Hoi qliponiuliza, jee una pasi ya umeme? Nikamjibu ndio. Jee na ya mkaa? Nikakumbuka ninayo ila sijui kule store imewekwa eneo gani maana mara ya mwisho kuitumia ni wakati wa mgao mkali wa umeme 2009 Rais akiwa Kikwete.

Michosho mitupu!

Ajabu sana,niliulizwa una kazi ya kufanya?me:sina,upo tayari kufanya kazi ukipewa?me:ndio. Nasubiri kuitwa kazini wakuu
 
Halafu then kwenye sensa ya makazi wanakuja kuuliza tena maswali yale yale waliyouliza kwenye sensa ya watu.

Nyumba yako ina vyumba vingapi?

Imepimwa?

Namba ya Nyumba?
 
Kwa kweli kulikuwa na maswali mengine ya kipuuzi sana.mfano unaulizwa nyumba ina tile?sasa hilo swali litasaidia nini wakati hata kupunguza tozo zao za ajabuajabu kwenye vifaa vya ujenzi hawataki
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.

2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.

3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

4. Kitambulisho cha ujasiriamali
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?

5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".

6. Uzazi na vifo
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.

Ongezeeni mengineyo...
Ukiwasikia wakizngmzia haya mambo ya kidigitali utadhani wako serious, hakuna kitu. Hivo vtamblisho va NIDA mpaka leo kna watu hawana! Wanaulizia pasi lkn sio friji, wanaulizia baskeli, lkn sio pkpk, ukubwa wa shamba lkn sio idadi ya mabasi au viwanda au umiliki wa miradi mingne -wanataka nini! Hawakuniuliza kuh uptknaj wa maji, umeme, wala mambo muhimu ya umbali wa shule, afya...nk. Nmeona ss wanafanya ya makazi na wanauliza maswli ambayo wangeuliza walipoanza hii shghli inayokula mapesa mengi, ingepngza ghrama.

Nlivoona, hii shghli ingeweza fanywa kw ufanisi zaidi ikiwa ingefanywa na wanafunzi au wenyeji wa eneo kule waliko. Isingegharimu pesa zote hizo, lkn pia tnzngmzia waTz - penye pesa pia pana suala zima la urefu wa kamba
 
Kitendo cha kutokuona loophole kwenye hilo dodoso lao ujue wewe ndiyo hamnazo kabisa...

Tatizo hii ndiyo mara yenu ya kwanza kushiriki sensa, tuulizeni tuliokuwepo 2002 na 2012.
Mlifanya nini ambacho sensa hii haijafanya? Tatizo uwekezaji katika hizo sensa haukuwa mkubwa kama huu. Hivyo unaona kana kwamba kuna kufaidi nawe si mmojawapo. Hii ipo kidigitali zaidi. Toa mfano wa athari ya hiyo loophole unayoiona wewe! [emoji1241]
 
Nadhani mtoa mada yuko kishabiki zaidi kuliko kiweredi....ni vizuri kujikita kwenye utafiti wa kina zaidi ili unapokosoa ukosoe ukiwa na hoja za msingi kuliko kupiga porojo tu za kutafuta kiki kwasababu sensa ni inshu inayotrend kwasasa....ni aibu kwa mtu msomi kuchambua mambo ambayo hata kijana wangu wa darasa la tano anaweza kufanya
 
IMG_20220831_091453.jpg
 
Namba 6 siyo Kweli , zinatumwa mijini TU huko vijijini ambako hakuitaji vibali bya kuzika watu Wana piga kimya.
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.

2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.

3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

4. Kitambulisho cha ujasiriamali
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?

5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".

6. Uzazi na vifo
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.

Ongezeeni mengineyo...
Namba za NIDA zipo NBS?????? Tangu lini?
 
Kumuuliza jobless ana miaka mingapi na anamiliki nini mpaka hapo alipo ukiachana na degree yake.
 
Back
Top Bottom