Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Kuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.

8000mAh kwenye iphone hii tusubiri labda 2030.

ukizingatia 3800 mAh za mwaka jana zimeonyesha uwezo mkubwa sana wa kukaa na charge.

sana sana watapunguza namba,wakirenga kupunguza ukubwa wa betry na kupata simu nyembamba zaidi.
 
Ni tetesi na uwenda zikawa na ukweli au sio kweli kesho tutathibitisha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…