Silas Furniture
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 246
- 137
Natumia s20 ultramhhhh mkuu unazungumzia A series labda[emoji31][emoji31]
tena a10,10s a03,a11 nk.hata A 32 tu inafoka balaa.mtu akikuona nayo lazima aifate aikague.
mtu hawezi kukutengenezea simu ya $500 kwenda juu akaripua ripua tu,lazima ukishika uone thamani ya hela yako.
Nikaiweka hapo n watu wachache sana wanaoweza itambua
Hizo a10 na hao uliowataja wana tofaut gani na infinix?