Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama tupo kwenye DCM za mbagala[emoji23][emoji1787]
Kwa maajabu yapi?Ok haters gonna hate lakini 14 pro iko incredible ukweli tuusema asee
Hao na wanajisifia bure sasa foldable phone mbona sio nzuri kihivyo, watu bado wanapendelea S series
Kwa maajabu yapi?
Yani utumie A15 bionic wakati pro models zina A16 bionic?
1300 USD x 2336 (exchange rate ya cash card) = 3,036,800 TshsBei yake itakuwa mtihani kidogo huenda ikapanda kwa 12% hivo inasadikika itakuwa 1300 usd. Bado hujaconvert kwa pesa za madafu.
14 pro Max ni $1099 hiyo 1300 Labda yenye storage kubwa zaidi km 256gb au zaidi1300 USD x 2336 (exchange rate ya cash card) = 3,036,800 Tshs
[emoji3][emoji3]
eSim ndo nini kwanza tupe elimu mkuu.Hivi huku Tz kuna mtandao unasupport eSim?