Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

kwenye ile pill shape notch wameua jinsi inavyotumika,wameamua isikae tu pale kama doa,sometime inatanuka na kuonyesha notiffication[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]

ila kwenye 14,14plus wazidhoofisha ili wakapige $100 za ziada kwenye 14 pro na 14 pro max.

maana ukiwa na 14 plus ni kama una 13 plain iliyo pana zaidi[emoji82][emoji82][emoji82]
 
Dynamic island,wametisha sana ile michezo ya kwenye pill pale
 
“Dynamis island” kuna u genious mkubwa umetumika pale . Turning a weakness into a strenght!

Watu wa marketing wana cha kujifunza kwenye hii Notchification centre
 
Iphone wanajua kiufupi wamarekani nawakubali we ikumbuke tu hata blackberry!
 
Flagships phones zote ni za watu wenye hela.

Apple anatengeneza flagships tu. Sio kila mtu anaweza afford.

Hata Flagship za Android phones sio kila mtu ana afford.
sidhani kama flagships ni za watu wenye hela pekee.. Ila nahisi ni watu wenye upenzi na simu husika.. Angalia hizi iphone hadi watoto wachuao wanazo tena unakuana nazo latest na wapo walio na hela wanatumia opo
 
Hivi hapa bongo kuna authorized apple reseller where i can trade in simu niliyonunua USA? Achana na wale wa Mwenge na Makumbusho.
Mbona ukiingia website ya apple 🍎 utaona kila kitu including reseller na top up n.k
 
Back
Top Bottom