Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Natumia s20 ultra

Nikaiweka hapo n watu wachache sana wanaoweza itambua

Hizo a10 na hao uliowataja wana tofaut gani na infinix?
 
Kuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.
Kwenye betri hapo kuna ukweli gani? Iphone wakuwekee betri lote hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…