Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Swali lako na nani?So turudi kwenye swali letu kwanini apple wamegamble (na flagship) yao ?
Gambling ipo wapi hapo?
Apple anauza premium phones, hataki mambo mengi.
Samsung yeye anauza simu za aina nyingi, hata akitoa simu zinazofanana na gari atoe tu.
Ila huezi kuta anafanya mchezo na S na Note series.