Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

So turudi kwenye swali letu kwanini apple wamegamble (na flagship) yao ?
Swali lako na nani?

Gambling ipo wapi hapo?

Apple anauza premium phones, hataki mambo mengi.

Samsung yeye anauza simu za aina nyingi, hata akitoa simu zinazofanana na gari atoe tu.

Ila huezi kuta anafanya mchezo na S na Note series.
 
Mbona series ya Note ameiuua ? Walikubali haina future tena kama iphone 14 🤣🤣
 
Hakika amebaki kwenye biashara nyingine ila simu amelicence kwa HMD Global, simu zao hazina utofauti na Infinix kwa sasa 😪
Pia uwekezaji na running cost kwa Nokia ya sasa ni ndogo kwa sababu, innovation inahitaji utafiti na utafiti unahitaji uwekezaji mkubwa. Kwa sasa nadhani HMD wapo tu kufuata trends, na siyo kuinvent vitu vipya, tofauti na enzi hizo Nokia alivyokuwa NOKIA haswa. Hii imepelekea hata material zinazotumika kuwa ni za gharama ndogo na hivyo kupata ubora mdogo wa vifaa vya Nokia ya sasa. Kwenye flagship za sasa unaweza kupata experience ya midrange phones, ambayo ni tofauti na flagship za miaka 10 nyuma, kipindi Nokia yupo na Microsoft, akiwa kwenye pumzi yake ya mwisho.
 
images.jpeg-4.jpg

Kama hili jembe lilikua lina Camera ya MP 41 hiyo ni mwaka 2013 🤩
 
Mmepewa SD card slot au bado mko jela?
Teknolojia ya SD card imeanza kupoteza mashiko, kwa sababu ilikuwa ina umuhimu kipindi simu zilipokuwa zinakuja na storage ndogo, na iwapo mtu atahitaji kuextend storage, hili ndiyo lilikuwa suluhisho.

Kwa sasa simu zina storage zaidi ya average pc, umuhimu wa SD Card unaanzakupungua kwa kasi. Labda zitaendelea kutumika kwenye feature phones.

Natazamia miaka michache ijayo SD card zitapungua sana sokoni. Labda zitabaki kutumika kwenye cameras.
 
Speak for yourself.

Kuna watu tunaona hata hiyo SD card ya 1 TB bado ni storage ndogo, tungependa kuona SD card zinakuwa na zaidi ya 2 TB.
 
mkuu unapita maeneo gani??

hiki unachosema hakina tofauti na mtu awe na iphone 11 pro leo,uswahilini watasema jamaa ana macho matatu.bila kujua macho matatu kwa sasa zipo mpaka za laki 8,sio ishu kabisa.na ukiwa na 13 pro max kwa asiyejua pia mpaka umueleze hii ni 13 pro max currently iphone.hivi hi utaambiwa tu una macho matatu.

s20 ultra ni simu kubwa sana na usiseme haijielezi,inaongea vyema ila kuijua hii ni samsung ipi hapo mpaka ukutane na ma expert kama sisi.
kama ilivyo kwa iphones hapo juu.
Hiki s ndio nilisema kule mwanzo? Umebisha alafu hapa unakuja tena kuunga mkono
 
Teknolojia ya SD card imeanza kupoteza mashiko, kwa sababu ilikuwa ina umuhimu kipindi simu zilipokuwa zinakuja na storage ndogo, na iwapo mtu atahitaji kuextend storage, hili ndiyo lilikuwa suluhisho.

Kwa sasa simu zina storage zaidi ya average pc, umuhimu wa SD Card unaanzakupungua kwa kasi. Labda zitaendelea kutumika kwenye feature phones.

Natazamia miaka michache ijayo SD card zitapungua sana sokoni. Labda zitabaki kutumika kwenye cameras.
Zitaondolewa kabisa huoni hata sim cards zishaanza kuondolewa kidogo kidogo?
 
Back
Top Bottom