Sera ya Acha Ball litembee na vijana wa siku hizi

Sera ya Acha Ball litembee na vijana wa siku hizi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Acha bollo litembe anasema coach wa Simba. Ustaadhi Juma Mgunda.

Vijana wamechuku huo msemo kwa sasa wanatembeza balls zao sana kwenyw mahusiano. Wasione kuna upenyo wanapitisha Ball. Wasione kuna uwazi wanataka ku score.

Mi nadhani kuna haja ya kujitathmini. Si kwamba kwa kuwa miguu basi wewe ni kukimbia muda wote. Au kwa kuwa una macho basi wewe unakodoa masaa 24x7 si sawa.

Tulizeni balls vijana mnapiga chenga hadi wake za watu na kutaka ku score. Watu watakuja na Vasseline halafu iwe INSHU.
 
Haijawa ufutio vijana wasiogope haiishi hapo, acha ball litembee
 
Wanawake wa dar akirudi nyumbani bila kuombwa namba au kusimamishwa hawapendi kabisa.

Hapa nazungumzia wanawake wa dar natumai kila mmoja anawajua
 
Back
Top Bottom