Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

Kwani lazima waliohitimu mafunzo ya ualimu wote waajiriwe? Serikali haiwezi kuajiri wahitimu wote wa ualimu na kozi nyingine Kwa Mara moja na haitokuja kutokea ikaajiri wote.

Acha mchujo upite, kwanza shughuli zipo kibao za kufanya, Acha kulia.
 
Mkuu usiseme hivo, usione wajinga kwamba hayo yote hawayafikirii..Jaribu kuvaa viatu vyao na kama ww ulipata nafasi ya kuepukana na hiyo changamoto basi shukuru tu Mungu kisha ukae kimy.
Tatizo plan b hamna mnataka kufanya kazi serikalini. Huu ujinga wa kuajiriwa na serikali umewalemaza sana watanzania.
 
Yeah to interview 15,000 kwa nafasi 200 ni waste of time and money,
Pambana ufanikiwe, mbona kipindi hamna interview ulikuwa unaomba ajira? Kwanini usingekuwa unakaa tu.

Kuna wahitimu kibao huku mtaani wa ualimu Sasa hivi wame hustle na wamefanikiwa kwenye biashara zao na Mambo yanaenda Kama kawaida.
 
Interview inamanufaa acha oendelee. Soma vizuri sera ya elimu. Kazi ya ualimu inaenda kuheshimishwa. Lama wakati upo chuoni ulikuwa unasema mi natafuta C tu sihitaj kujua sana, sasa ndio comes around.
 
Nimesoma post zote 1-20 naona shida kubwa sana.

Moja hata mleta mada hajui anataka Nini, maana ukweli hakuna ajira isiyo na interview, na nimeshiriki interview nyingi sana kwenye ajira za walimu shule za Private. Yeyote aliyetimiza vigezo vya Tangazo aliitwa kwenye usaili. Mfano Kuna shule mpya ilikuwa Dar tulihitaji walimu 9 tukipata applications 391 na wote walimeet initial screening procedure. Sheria inatak uwaite.

Baada ya hapo tuliscreen na kupata walimu 36 tukawapa interview ya pili wakabakia 19 then tunafanya mwisho tukipata serious teachers 9. Na shule ipo vizuri sana sana(form two mbili zilizopita wote division one) mwaka huu itakuwa na form four ya kwanza.

Hakuna kubebana wacha waitwe kwenye usaili lakini pia best teacher sio GPA hata kidogo bali uwezo binafsi wa mwalimu. Mfano: Kuna walimu wa kiingreza hawawezi kuzungumza kiingreza five minutes leave alone grammar.

Jambo la pili naona walimu wengi wamefocus kuaniriwa tena serikalini. SI lazima uajiriwe unaweza kujiajiri (walimu watatu au wanne anzisheni tuition center, QT, n.k) huku mnaeeza kujenga majini na kupata ajira. Ombeni kufundisha remedial classes kwenye shule hizo mnagawani mshiko na walimu). Lakini pia mnaeeza kuandaa notes, pamphlets, compendium au vitabu kwenye maeneo yenu ya ubobezi. Etc

Mnamlaumu Prof. Mkenda as if yeye ndio yupo kwenye Halmashauri.,

Mwisho kama walimu wengi ni watoto wa wakulima m ona hatuoni wakikwasaidia wazazi wao kuongeza tija kwenye kilimo na ufungaji badala yake wapo TikTok, X, fB etc. wasaidieni. Kwenye kilimo Kuna tija kubwa sana
 
Kwa matusi hayo ni dhahiri interview imekutupa.
 
Sijawahi ona interview ya kipumbavu kama hii ya Waalimu. Ukiuliza kila mtu anakwambia nilipata 76 na ilitakiwa 80.
How come most of them wapate 76.
Kigezo cha kutumia interview kwa ajira za Waalimu ni UPUMBAVU
 
Mimi shida yangu si huo wingi, Bali ni aina ya maswali......yalikuwa favourable kwa mtu aliyemaliza mwaka jana au juzi tu lakini waliomaliza 2018 huko walitengwa kabisa......na Kwakweli wameumizwa na kudhulumiwa sana. Huruma Kwakweli. Mtu yupo mtaani miaka 8, anashighulika na kilimo tu, ghafla analetewa maswali ya kifalsafa tupu ambayo yanahitaji mtu anayesoma na kutestiwa Kila siku. Kama hilo halitoshi, pass mark ilikuwa 80😭😭😭😭. Kwa hapa, kilio changu kipo pamoja na mleta mada.....wamedhulimiwa nauli na muda wao ndugu zetu wa miaka ya 2018, 2019 na 2020
 
Hii kitu insurance sana,
Kipindi hicho, 20yrs ago, nimetoka UD, naishi kwa bro, nikatafuta ajira ya jeshi, nikatapeliwa, Mara ya pili, kamanda mmoja akanipa ukweli mchungu, "wewe mtoto wa mkulima, huna mkubwa anayekujua, unafikiri utapita kwenye mchujo wilayani? "
Mara ya tatu, nikajibiwa kwa ujeuri na wajumbe wa kamati ya ulinzi wilayani, "we jina lako halipo toka nje"
Ccm ni washenzi Sana, mtu anawaambia vijana, eti jiendelezeni hata kama hamna ajira! Sasa huna pesa, unajiendelezaje? Kwa kunyoa kipara au kusuka?
 
Mwambieni mbwa mkenda aache roho mbaya. Hata kama ana Nia mbaya na watu/mtu ibaki siri yake moyoni mwake. Asitake kujionesha jinsi Gani yeye ni mtu smart sana au muhimu Sana kuliko mwingine/wengine. Ama familia yake ya muhimu Sana kuliko familia za wengine. Mbwa mkenda lolote baya likupate wewe na familia yako.
 
Mwambieni mbwa mkenda aache roho mbaya. Hata kama ana Nia mbaya na watu/mtu ibaki siri yake moyoni mwake. Asitake kujionesha jinsi Gani yeye ni mtu smart sana au muhimu Sana kuliko mwingine/wengine. Ama familia yake ya muhimu Sana kuliko familia za wengine. Mbwa mkenda lolote baya likupate wewe na familia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…