Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unataka watu wote wale wafanyiwe usaili kwa siku ngapi, yn kila somo na kila mwanafunzi wengine waliomba nafasi mbili wote wafanye kwa siku moja?Interview ni kichaka cha upigaji pesa za umma, hakuna interview duniani ya kufanya siku 40
Tafuta kazi nyngn ya kufanya, ualimu achana nao, uza ht bangiYaani anatia kinyaa mbwa mkenda.
Usaili umefanyika kwenye maeneo yao wanapoishi, wengine wameenda kwenye usaili kwa miguu kutokana na ukaribu, hasara ipi hy unazungumzia?Imagine unahitaji kujaza nafasi 200. Kuna sababu gani ya kuita 15,000 candidates kwenye interview, kama sio kutengeneza mazingira ya rushwa? Unapaswa kuwa na filter itakayokupa a sensible shortlist ya candidates utakaowaita kwenye interview. Otherwise, utatia watu wengi hasara isiyokuwa ya lazima!
Nilitaka nikuambie kitu, goja niendelee kukusoma kwanzaTafuta kazi nyngn ya kufanya, ualimu achana nao, uza ht bangi
Niambie hapa hapa tumalizane hapa hapaNilitaka nikuambie kitu, goja niendelee kukusoma kwanza
Bado nakusoma kwanza.Niambie hapa hapa tumalizane hapa hapa
Msingeitwa pia bado msingekosa cha kusema. Kubalianeni na mabadiliko tu, ni mwanzo, ila mtazoea.Imagine unahitaji kujaza nafasi 200. Kuna sababu gani ya kuita 15,000 candidates kwenye interview, kama sio kutengeneza mazingira ya rushwa? Unapaswa kuwa na filter itakayokupa a sensible shortlist ya candidates utakaowaita kwenye interview. Otherwise, utatia watu wengi hasara isiyokuwa ya lazima!
Kwahy umemaliza 2018 afu umekaa mtaani unasubiri kuajiriwa na serikali 😂 ww endelea kusubiri tuu mana huna akili.Mimi shida yangu si huo wingi, Bali ni aina ya maswali......yalikuwa favourable kwa mtu aliyemaliza mwaka jana au juzi tu lakini waliomaliza 2018 huko walitengwa kabisa......na Kwakweli wameumizwa na kudhulumiwa sana. Huruma Kwakweli. Mtu yupo mtaani miaka 8, anashighulika na kilimo tu, ghafla analetewa maswali ya kifalsafa tupu ambayo yanahitaji mtu anayesoma na kutestiwa Kila siku. Kama hilo halitoshi, pass mark ilikuwa 80😭😭😭😭. Kwa hapa, kilio changu kipo pamoja na mleta mada.....wamedhulimiwa nauli na muda wao ndugu zetu wa miaka ya 2018, 2019 na 2020
Ndo wanamchangia rais fomu ya kugombea kuendelea kuongoza 😂Acha ujinga mwalimu, Sasa mkenda ndo mwenye mamlaka ya mwisho kuamua kuajiri waalimu?
Nyinyi mkiajiriwa ndo mnakuja kuwa wezi.
mwanzon nilipata tabu kukuelew, ila kweny hiii point "raising the bar" umetisha sana. Hebu niendelee kufuatilia hawa wanaokupinga wana hoja gan nzito kushinda hii yako🧠Kitu rahisi hicho; you raise the bar. Waulize vijana wanaoomba kwenda kusoma MD Muhimbili. Kupata division one hakutoshi. Ni division one ya points ngapi? Wanachukua mostly division one ya points 3, 4, 5. If you raise the bar in a similar fashion, you won’t have to invite 15,000 candidates for an interview to fill only 200 teaching positions!
Tena inauma sana NOT SELECTED inavyokuwa kwa herufi kubwa 😂Pole sana kwa kuwa NOT SELECTED
Hakuna tajiri aliyeajiriwa
N kweli kasema kitu cha maana ila bado wapo ambao wangelalamika mana kwa maana hy n kwamba hao watakaobaki hawatokuja kuajiriwa tena ualimu serikalin.mwanzon nilipata tabu kukuelew, ila kweny hiii point "raising the bar" umetisha sana. Hebu niendelee kufuatilia hawa wanaokupinga wana hoja gan nzito kushinda hii yako🧠
Bado kelele zingekuwepo kwa hao ambao wameachwa mana ndio ingekuwa washajua hawawezi kuajiriwa tena ualimu serikalin, ndo mwanzo wa kusema miaka yote hy kusomea ualimu n sawa na 0Kitu rahisi hicho; you raise the bar. Waulize vijana wanaoomba kwenda kusoma MD Muhimbili. Kupata division one hakutoshi. Ni division one ya points ngapi? Wanachukua mostly division one ya points 3, 4, 5. If you raise the bar in a similar fashion, you won’t have to invite 15,000 candidates for an interview to fill only 200 teaching positions!
Duuh kubakwa tenasasa Binti zetu huko kwenye maintaview yenu wanabakwa ili labda watafanikiwa