Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

Matokeo yanatolewa wakati ambao kila mtu yupo makwao, hao vijana waliokuwa wanalia kwenye bwalo la halmashauri ww umewaonaje?
 
Interview ni kichaka cha upigaji pesa za umma, hakuna interview duniani ya kufanya siku 40
Ww unataka watu wote wale wafanyiwe usaili kwa siku ngapi, yn kila somo na kila mwanafunzi wengine waliomba nafasi mbili wote wafanye kwa siku moja?
 
Usaili umefanyika kwenye maeneo yao wanapoishi, wengine wameenda kwenye usaili kwa miguu kutokana na ukaribu, hasara ipi hy unazungumzia?
 
Kwahy waalimu ndio wasomi wenu, ila kada zingine sio wasomi 😂 Bado hamjasema
 
Msingeitwa pia bado msingekosa cha kusema. Kubalianeni na mabadiliko tu, ni mwanzo, ila mtazoea.
 
Anajifanya anajua sana ubora wa elimu ila hajali maumivu wanayopitia watoto wetu afu hajali kabisa upungufu wa walimu vijijini hali ni mbaya sana hadi wanafunzi wameanza kurudia kama zamani.
 
Kwahy umemaliza 2018 afu umekaa mtaani unasubiri kuajiriwa na serikali 😂 ww endelea kusubiri tuu mana huna akili.

Unazungumzia nauli vp wakati usaili umefanyika maeneo wanapoishi?

Usaili wa siku moja ndo kupotezewa muda? 😂 Ila kukaa kuanzia 2018 mpaka sasa unaona hujapoteza muda 😂
 
Acha ujinga mwalimu, Sasa mkenda ndo mwenye mamlaka ya mwisho kuamua kuajiri waalimu?

Nyinyi mkiajiriwa ndo mnakuja kuwa wezi.
Ndo wanamchangia rais fomu ya kugombea kuendelea kuongoza 😂
 
mwanzon nilipata tabu kukuelew, ila kweny hiii point "raising the bar" umetisha sana. Hebu niendelee kufuatilia hawa wanaokupinga wana hoja gan nzito kushinda hii yako🧠
 
mwanzon nilipata tabu kukuelew, ila kweny hiii point "raising the bar" umetisha sana. Hebu niendelee kufuatilia hawa wanaokupinga wana hoja gan nzito kushinda hii yako🧠
N kweli kasema kitu cha maana ila bado wapo ambao wangelalamika mana kwa maana hy n kwamba hao watakaobaki hawatokuja kuajiriwa tena ualimu serikalin.
 
Bado kelele zingekuwepo kwa hao ambao wameachwa mana ndio ingekuwa washajua hawawezi kuajiriwa tena ualimu serikalin, ndo mwanzo wa kusema miaka yote hy kusomea ualimu n sawa na 0
 
Am sorry jk!ndivyo ninavyoweza kukomenti!

Huyo Mzee anaweza akawa ni mswahili na mjanja mjanja lakini he new how to live with us!
Unamfanyia interview mtoto wa maskini mwenye mkopo hslb ili kumkomoa upate Nini!!?

Am sorry jk!
 
Kuna video niliiona anajitetea bungeni,nikagundua nchi zinazofanya interview kwa walimu ni chache sana duniani,pia nikagundua atakuwa na malengo ya kuanzisha lugha ya kiingereza toka chekechea

Ila kuna kitu cha kijinga alikisema eti walimu wawe wanajiendeleza ili wafaulu interview,mbaya zaidi hz interview hata walikuwa hawasahihishi mitihani

Mwisho wa zoezi watueleze wametumia kiasi gani kuendesha huu mradi wa kipigaji
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…