Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kwa mshahara wa kipumbavu na mazingira ya mabovu usitegemee badiliko lolote katika elimu yetuElimu imechezewa sana na walimu vilaza, ni muda wa kuajiri vijana wenye uwezo mkubwa tu kwenye sekta muhimu kama elimu.
Kwahy mtu aajiriwe kisa amekaa muda mrefu mtaani, yn hilo tuu ndio iwe kigezo?Kuna video niliiona anajitetea bungeni,nikagundua nchi zinazofanya interview kwa walimu ni chache sana duniani,pia nikagundua atakuwa na malengo ya kuanzisha lugha ya kiingereza toka chekechea
Ila kuna kitu cha kijinga alikisema eti walimu wawe wanajiendeleza ili wafaulu interview,mbaya zaidi hz interview hata walikuwa hawasahihishi mitihani
Mwisho wa zoezi watueleze wametumia kiasi gani kuendesha huu mradi wa kipigaji
View attachment 3236595
Wangeendelea hapo hapoKwahy mtu aajiriwe kisa amekaa muda mrefu mtaani, yn hilo tuu ndio iwe kigezo?
Pole sana mwalimuMimi shida yangu si huo wingi, Bali ni aina ya maswali......yalikuwa favourable kwa mtu aliyemaliza mwaka jana au juzi tu lakini waliomaliza 2018 huko walitengwa kabisa......na Kwakweli wameumizwa na kudhulumiwa sana. Huruma Kwakweli. Mtu yupo mtaani miaka 8, anashighulika na kilimo tu, ghafla analetewa maswali ya kifalsafa tupu ambayo yanahitaji mtu anayesoma na kutestiwa Kila siku. Kama hilo halitoshi, pass mark ilikuwa 80😭😭😭😭. Kwa hapa, kilio changu kipo pamoja na mleta mada.....wamedhulimiwa nauli na muda wao ndugu zetu wa miaka ya 2018, 2019 na 2020
Wewe subiria zamu yako utalia mdomo wazi zamu yako kukandwa bado haijafikaKwahy mtu aajiriwe kisa amekaa muda mrefu mtaani, yn hilo tuu ndio iwe kigezo?
Mazoea nadhani ndo shida. Ila walimu haohao ili kufundisha private schools wanaomba kazi, wanafanyishwa interview kisha ajira. Serikalini ilikuwaga post tu..nadhani ni kubadili mindset..japo kweli inategemea hizo interview zina lengo gani ziko positive kweli kiasi cha kufanya walimu wazidi kujiimarisha wanapokuwa masomoni. Na serikali iangalie mtiririko mzima wa kuwasomesha walimu husika kuanzia sifa za kujiunga vyuo..wao wenyewe wanachukuaga wale wa grade au div. Za fair au chini na kuwapa wasome ualimu..waanze kuchukua na 1 na 2 tuone, ...kimsingi kuna mambo ya kuangalia mengi ktk kadq ya ualimuWalimu wana kitu gani spesho wasipewe usaili!? Ila wengine iwe sawa!! Huoni kuwa ndiyo wakati sasa taaluma yao inaenda kupata heshima.. Mfumo umebadilika wacha na walimu waheshimu hiyo kazi yao kwa kufanyiwa usaili. Moja kabisa ya vitu vinashusha hadhi ya ualimu ni kuupata bila jasho.. Hata walimu wana jidharau. Sababu hiyo mbona private wana jitambua ni sababu ya usaili..
Hapana, binafsi nawapongeza walivyoleta usaili.Wangeendelea hapo hapo
Mm sio mwalimu, na tayari nshakandwa kitambo na nshazoeaWewe subiria zamu yako utalia mdomo wazi zamu yako kukandwa bado haijafika
Utakandwa tena subiria PSRS wakuite tena utaelewa tu unashangaa miaka 10 hii hapa haujaitwa kazini nenda kuponde mawe uuzeMm sio mwalimu, na tayari nshakandwa kitambo na nshazoea
Kwahy kada zngn zinazofanya usail n watoto wa matajiri? 😂Am sorry jk!ndivyo ninavyoweza kukomenti!
Huyo Mzee anaweza akawa ni mswahili na mjanja mjanja lakini he new how to live with us!
Unamfanyia interview mtoto wa maskini mwenye mkopo hslb ili kumkomoa upate Nini!!?
Am sorry jk!
Waliwafuata mpaka huko kijijini wanakoishi baadhi yao? Gharama inakuja katika forms nyingi. Hata time spent ni gharama - time is money. Watu wameacha shughuli zao za kilimo, bodaboda, machinga, etc ili waende kwenye usaili usiokuwa na tija. Hiyo ni hasara!Usaili umefanyika kwenye maeneo yao wanapoishi, wengine wameenda kwenye usaili kwa miguu kutokana na ukaribu, hasara ipi hy unazungumzia?
Mkuu, mm kama waalimu wanaosubiri kuajiriwa serikalin miaka yote hy, ety mtu mzima na akili zako unalalamika kukaa mtaani miaka 10 ukisubiri kuajiriwa ualimu serikalin 😂.Utakandwa tena subiria PSRS wakuite tena utaelewa tu unashangaa miaka 10 hii hapa haujaitwa kazini nenda kuponde mawe uuze
Forms nyingi zipi hizo?Waliwafuata mpaka huko kijijini wanakoishi baadhi yao? Gharama inakuja katika forms nyingi. Hata time spent ni gharama - time is money. Watu wameacha shughuli zao za kilimo, bodaboda, machinga, etc ili waende kwenye usaili usiokuwa na tija. Hiyo ni hasara!
Ila TAMISEMI walivyokuwa wanaokotaokota kulikuwa hakuna rushwa?Mifumo hii ya elimu yetu bado haijawa supportive kwa wasomi wengi japokuwa ,hizo interview zimetawaliwa na rushwa tupu