Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

Forms nyingi zipi hizo?
Kwahy kukaa nyumbani miaka 10 sio kupoteza muda?
Kuacha kulima na shughuli zngn kwa siku moja ambayo tayari ulikuwa una ratiba nayo kuwa utaenda kwenye usaili ndo itakufanya uwe masikini wa kufa?
Umewahi kusafiri kwenda kwenye usaili? Kama umewahi, explicit and implicit costs unazijua!

Ukipokea maombi kutoka kwa watu wenye 5.0 GPA degrees na watu wenye third class degrees, ukaamua kuwaita kwenye interview wote hao reasonable expectations zako ni zipi? Kwamba miujiza itatokea wenye third class degrees watafanya vizuri kuliko wenye first class, 5.0 GPA degrees? Any reasonable man atajua with reasonable certainty nini kitatokea hapo. Sasa kama unajua right from the beginning kwamba mwenye third class degree cannot outshine mwenye first class, una sababu gani ya kumpotezea muda wake huyo mwenye third class degree? Shindanisha the equals!
 
Pole ndugu mwalimu, endelea kusubiri mpaka 2125 ajira zitakapotangazwa tena.
 
Mbona waalimu wa Private huwa wanasailiwa kwanza? Mimi ninadhani tukubaliane na ukweli mchungu kuwa interview kwa waalimu ni muhimu. Kumlaumu Mkenda haitasaidia.
 
Acha kulia lia. Maisha yameshabadilika.
 
Mbona waalimu wa Private huwa wanasailiwa kwanza? Mimi ninadhani tukubaliane na ukweli mchungu kuwa interview kwa waalimu ni muhimu. Kumlaumu Mkenda haitasaidia.
Watu wa afya nao wamefanya usaili na mwanzo hawakuwa na usaili ila hapakuwa na hizi kelele kama za waalimu, waalimu wana matatizo ya kiakili
 
WAPUMBAVU NYIE WAACHENI WATU WA ELIMU NA WALIMU WAJIFANYIE MAMBO YAO MLITAKA UALIMU BILA INTERVIEW ILI MKAICHAFUE KADA YA UALIMU IONEKANE YA KIPUUZI...
Mmewatukana sana walimu, mlivyo ona ajira zimekuwa ngumu mkakimbilia kusoma ualimu huku hamuipendi hiyo kada, mliamini mkisoma ualimu mtapata kazi kiurahisi serikalini...
Sasa serikali imegundua kuna wapuuzi wengi wamesoma ualimu ila hawaupendi lengo lao ni kwenda kazini kula mshahara...
 
Mkenda anaifanya wizara sekta ya wajinga
 
Mkuu wewe wataka aweke filter gani itakao kua fair kwa kila mtu.
Hakuna haja ya yote hayo watu waajiriwe kwa qualifications zao kutoka vyuo walivyosomea sio kuja kuwavuruga na maswali mshenzi ya interview
 
Waalimu ni wawoga wa kushindanishwa kwenye interviews, kila sekita iko vile usairi ndo kigezo cha filter kiziri kumpa kila mtu nafasi hiyo hiyo.
Usaili ni tofauti ni hii interview ya mkenda hii ni udhalilishaji
 
Ajabu, walimu wenye kuzalisha wasomi hawataki kupewa mitihani.

Mbona nyie mnawapa wanafunzi mitihani?

Mkuki kwa nguruwe ama?
Mitihani walishapewa ndio maana wakafuzu kupewa shahada
 
Sio kweli mkuu unapotosha huwezi kuwafanyia usaili watu laki mbili kwa ajira 10000
 
Ni ujinga uliopitiliza
 
Unampimaje kwa dakika 30?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…