Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kusafiri kwenda kwenye usaili? Kama umewahi, explicit and implicit costs unazijua!Forms nyingi zipi hizo?
Kwahy kukaa nyumbani miaka 10 sio kupoteza muda?
Kuacha kulima na shughuli zngn kwa siku moja ambayo tayari ulikuwa una ratiba nayo kuwa utaenda kwenye usaili ndo itakufanya uwe masikini wa kufa?
Pole ndugu mwalimu, endelea kusubiri mpaka 2125 ajira zitakapotangazwa tena.Umewahi kusaidia kwenda kwenye usaili? Kama umewahi, explicit and implicit costs unazijua!
Ukipokea maombi kutoka kwa watu wenye 5.0 GPA degrees na watu wenye third class degrees, ukaamua kuwaita kwenye interview wote hao reasonable expectations zako ni zipi? Kwamba miujiza itatokea wenye third class degrees watafanya vizuri kuliko wenye first class, 5.0 GPA degrees? Any reasonable man atajua with reasonable certainty nini kitatokea hapo. Sasa kama unajua right from the beginning kwamba mwenye third class degree cannot outshine mwenye first class, una sababu gani ya kumpotezea muda wake huyo mwenye third class degree? Shindanisha the equals!
Acha kulia lia. Maisha yameshabadilika.Umewahi kusaidia kwenda kwenye usaili? Kama umewahi, explicit and implicit costs unazijua!
Ukipokea maombi kutoka kwa watu wenye 5.0 GPA degrees na watu wenye third class degrees, ukaamua kuwaita kwenye interview wote hao reasonable expectations zako ni zipi? Kwamba miujiza itatokea wenye third class degrees watafanya vizuri kuliko wenye first class, 5.0 GPA degrees? Any reasonable man atajua with reasonable certainty nini kitatokea hapo. Sasa kama unajua right from the beginning kwamba mwenye third class degree cannot outshine mwenye first class, una sababu gani ya kumpotezea muda wake huyo mwenye third class degree? Shindanisha the equals!
Watu wa afya nao wamefanya usaili na mwanzo hawakuwa na usaili ila hapakuwa na hizi kelele kama za waalimu, waalimu wana matatizo ya kiakiliMbona waalimu wa Private huwa wanasailiwa kwanza? Mimi ninadhani tukubaliane na ukweli mchungu kuwa interview kwa waalimu ni muhimu. Kumlaumu Mkenda haitasaidia.
Mkenda anaifanya wizara sekta ya wajingaImagine unahitaji kujaza nafasi 200. Kuna sababu gani ya kuita 15,000 candidates kwenye interview, kama sio kutengeneza mazingira ya rushwa? Unapaswa kuwa na filter itakayokupa a sensible shortlist ya candidates utakaowaita kwenye interview. Otherwise, utatia watu wengi hasara isiyokuwa ya lazima!
Unataka usaili wa muda gan?Sikia ndugu mtu amekaa chuo miaka mitatu unampimaje kwa interview ya nusu saa?
Sio kweli mkuu unapotosha huwezi kuwafanyia usaili watu laki mbili kwa ajira 10000Walimu wana kitu gani spesho wasipewe usaili!? Ila wengine iwe sawa!! Huoni kuwa ndiyo wakati sasa taaluma yao inaenda kupata heshima.. Mfumo umebadilika wacha na walimu waheshimu hiyo kazi yao kwa kufanyiwa usaili. Moja kabisa ya vitu vinashusha hadhi ya ualimu ni kuupata bila jasho.. Hata walimu wana jidharau. Sababu hiyo mbona private wana jitambua ni sababu ya usaili..
Kada zngn zinazofanya usail hazivurugwi?Hakuna haja ya yote hayo watu waajiriwe kwa qualifications zao kutoka vyuo walivyosomea sio kuja kuwavuruga na maswali mshenzi ya interview
Ni ujinga uliopitilizaKitu rahisi hicho; you raise the bar. Waulize vijana wanaoomba kwenda kusoma MD Muhimbili. Kupata division one hakutoshi. Ni division one ya points ngapi? Wanachukua mostly division one ya points 3, 4, 5. If you raise the bar in a similar fashion, you won’t have to invite 15,000 candidates for an interview to fill only 200 teaching positions!
Unampimaje kwa dakika 30?Huwezi kitumia arama za ufauli kumpima mualimu muzuri professional ya ualimu ni practice kuliko theoretical, interview inaangalia mambo mengi sio ufauli wako tu, kuna mtu anaweza na GPA ya 5. Ila asojiwe jinsi ya class management wakati wa GPA 2.5 anuwezo mkubwa katika class mangement nk.