Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Nadhani tuko pamoja, kutengeneza ajira siyo kwamba yenyewe ndiyo iwe mwajiri, ni pia unalosema la kutengeneza mazingira ya ajira silipendi neno kujiajiri kwakua Lina madhara pia katika kutengeneza ajira maana watu wanapata kichaka Cha kujificha udhaifu wao.Siyo kutengeneza ajira tu, pia ni kuweka mazingira mazuri kwaajili ya wananchi kujiajiri.
Serikali haiwezi kuajiri watu wote waliohitimu.
Au kuna mafunzo ya ujinga hutolewa kwa siri vyuoni mtu anaposomea ualimu? Waalimu kwenye kutapeliwa na kuonewa hovyohovyo wanaongoza.Watu wa afya nao wamefanya usaili na mwanzo hawakuwa na usaili ila hapakuwa na hizi kelele kama za waalimu, waalimu wana matatizo ya kiakili
Na walimu wengi huwa ni wajinga, mwajiri asipokuwa makini katika mchujo anaweza kujikuta ana walimu wa ajabu sana.Walimu nyakati zimebadilika kwa sasa ukiwa mwalimu mjinga hautoajirika
Wewe ulitaka kila aliyeitwa kwenye usaili apate ajira sio? Au apewe chai, nauli nk.Anajifanya anajua sana ubora wa elimu ila hajali maumivu wanayopitia watoto wetu afu hajali kabisa upungufu wa walimu vijijini hali ni mbaya sana hadi wanafunzi wameanza kurudia kama zamani.
Aisee Bora mfanyiwe usaili! Tumechoka huku majumbani. Wanafunzi wengi wanawaona walimu kama vituko!Yeye mkenda hiyo nafasi aliyopo alifanya usaili lini?
Zipo kada nyingine zilizokaa chuoni zaidi ya hiyo miaka mitatu na bado zinafanyiwa interview kwa muda huo huo, kuna taasisi za kimataifa unapewa dakika 10 tu wanakuwa wameshafanya tathmini ya kutosha na huko wanachukua mtu aliyeanzia level ya Master's inamaana amekaa chuoni miaka 5+Sikia ndugu mtu amekaa chuo miaka mitatu unampimaje kwa interview ya nusu saa?
Huyu Mwalimu hata kufanya argument ni tatizo. Sijui atawezaje kusaidia wanafunzi kuwa na maarifa.Na walimu wengi huwa ni wajinga, mwajiri asipokuwa makini katika mchujo anaweza kujikuta ana walimu wa ajabu sana.
Mbunge wako anasumbua watuMfano interview ya mwalimu wa kiingereza, anaempiga hiyo interview nae kiingereza hajui, hapo imekaaje?
Bado wanaoapply MD Muhimbili sio wenye Division 1 ya 3, 4 na 5 tu. Hawajafunga mlango kwa wengine, nimeambatanisha vigezo vyao hata mtu mwenye division 2 ya point 12 anaweza kuapply na huwa wanapokea maelfu ya maombi wakati wa udahili ila wanaohitajika si zaidi ya 250Kitu rahisi hicho; you raise the bar. Waulize vijana wanaoomba kwenda kusoma MD Muhimbili. Kupata division one hakutoshi. Ni division one ya points ngapi? Wanachukua mostly division one ya points 3, 4, 5. If you raise the bar in a similar fashion, you won’t have to invite 15,000 candidates for an interview to fill only 200 teaching positions!
Mtu kasomea ualimu au nursing, hakuna matawi au vipengele ndani yake. Amesoma hatua kwa hatua kwa usimamizi wa chombo maalum cha taaluma husika kisha akapimwa kwa kipimo mahsusi kinachosimamia taaluma na kufauli kwa nadharia na vitendo. Na vyeti vipo.Kwani interview ina ubaya gani kama kweli mtu ni mualimu na kausomea kuna ubaya gani kupewa usaili?
🤓 🤓 🤓 🤓.Alijiandaa na maswali ya what is geography 😂
Sasa kama umepita huko kote unaogopaje usaili 😂Mtu kasomea ualimu au nursing, hakuna matawi au vipengele ndani yake. Amesoma hatua kwa hatua kwa usimamizi wa chombo maalum cha taaluma husika kisha akapimwa kwa kipimo mahsusi kinachosimamia taaluma na kufauli kwa nadharia na vitendo. Na vyeti vipo.
Interview inakujaje hapo?
Kama ndivyo, ifahamike kuwa vile vyuo vya ualimu na nursing vya serikali, navyo haviaminiki. Tuwape interview hadi wahitimu wa majeshi yote pia.
Ajira zijazo mtafanya usaili kwa wiki nzima, vp hapo umefurahi?Sikia ndugu mtu amekaa chuo miaka mitatu unampimaje kwa interview ya nusu saa?