Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

Serikali isimamishe kusomesha kozi ya Ualimu kwa miaka 5 hivi mpaka hapo itakapokuwa imeajiri Waalimu wote.
Serikali inapoteza hela kuwasomesha harafu inaajiri wachache?
Economically ni Ujinga kumsomesha mtu usiyemwajiri.
 
Kwan unasoma ili uajiriwe au n ili upate maarifa?
Waalimu mpo kama walemavu vile
 
Serikali isimamishe kusomesha kozi ya Ualimu kwa miaka 5 hivi mpaka hapo itakapokuwa imeajiri Waalimu wote.
Serikali inapoteza hela kuwasomesha harafu inaajiri wachache?
Economically ni Ujinga kumsomesha mtu usiyemwajiri.
Nani kakuambia kwamba sababu ya kuzomesha ualimu na aerikali ni kuajiliwa, hizo ndo fikira potovu za ma graduate wetu asipo ajilowa na serikali anaona kama awesomea bure, elimu ni muhimu zaidi ya kuajiliwa, tatixo kubwa ya wa tanzania vyochwa vyetu sio critical thinkers hatuna creativity yoyote zaidi ya kufilitia kuajiliwa na serikali tu.
 
Mkuu wewe wataka aweke filter gani itakao kua fair kwa kila mtu.
Mfano wa filters
1. Umri. Kipaumbele wale wenye umri mkubwa maana ajira za serikali usidhidi 46 yrs.
2. Old graduate

Hivyo ni vigezo muhimu sana kuzingatia hasa serikalini ama na taasisi zinaajiri watu wengi kwa wakati mmoja.

Kuna academic performance, iwe kidato cha 4, 6, then vyuo itategemea sasa na motive.
 
Suluhu ya upungufu wa ajira ni kukua kwa sekta binafsi - sekta binafsi zinapodumaa kilio cha ajira kinakuwa kikubwa zaidi. Hakuna serikali duniani iwrzayo kuajiri wahitimu wote
 
Hivyo vyote ni irrelevant likija sual la ualimu kwasababu masoma walio soma nitofauti na uwezo wa kugundisha ni tofauti, kwa mfano unatafuta mualimu wa physics na Biology au commerce, wenye uwezo na vigezo ni fresh graduate utawaacha uchukue wale wa kiswahili na civics kwasbb wote ni waalimu?
 
Sasa if that a case kwa nini watu wanalalamikia Ajira?
 
Kama hutaki interview usiende.
 
Mindset zibadilike, vilio vipungue
 
Shida walimu mlizoeaga kuajiriwa bila interview....

Hata kama nafasi ni 50 na wameapply 20,000 ni haki yao wote wafanye usaili....

Ufaulu ndiyo utakaodetermine watakaosonga mbele, kma mmeanza na written, basi oral inabidi mbaki idadi ile inayotakiwa, hivyo issue sio passmark bali idadi ya wanaotakiwa kwenda kwenye oral interview.

Ninyi walimu hiki kitu ni kigeni kwenu, lkn kwa kada zingine haya mambo ni kawaida sana toka 2015 na tulishazoea..
 
Kwani interview ina ubaya gani kama kweli mtu ni mualimu na kausomea kuna ubaya gani kupewa usaili?
Jamaa ameandika kwa hasira. Ila ukweli wizara ya Elimu ina mikosi sana, mara nyingi huwa inapata mawaziri wa hovyo sana, angalia huyu aliyepo sasa.
 
Hapo sasa ndio jipu limeoza kabisa
 
Jamaa ameandika kwa hasira. Ila ukweli wizara ya Elimu ina mikosi sana, mara nyingi huwa inapata mawaziri wa hovyo sana, angalia huyu aliyepo sasa.
Interview ya nusu saa inakukosesha ajira na umekaa chuo miaka 3 secondary 4 primary 7 five na six 2 jumla miaka 16 ,anakuja mtu anakufanyisha itavyuu ya nusu saa anasema hufai Rudi nyumbani na wanaopita kwenye ni wasichana warembo tu
 
Hakunaga kitu hapo ni rushwa ya ngono na pesa Basi
 
Na walimu wengi huwa ni wajinga, mwajiri asipokuwa makini katika mchujo anaweza kujikuta ana walimu wa ajabu sana.
Hujui kinachoendelea kwenye hayo maintaview ni ngono tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…