Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

Si kweli mkuu,
labda kama haukuwahi kusikia ile kesi kati ya FBI na Apple kuhusu kufungua simu ya yule gaidi aliuwa watu kwa risasi. yule gaidi alikua anatumia simu ya Iphone na Aple walikataa kuifungua simu yake.
jaribu kufuatilia.
Unalinganisha bongo na USA?
 
Tatizo ni kutoa taarifa bila amri ya mahakama dada YEHODAYA .
Hii maana yake ukimchukua bwana wa jirani yako ambaye ni afande mwanamke,huyo afande anaweza "kukuweka uchi" kwa kupata taarifa zako kiurahisi.
Umekariri notisi kinachotakiwa ni Usalama wa taifa kuwa na secret contract na kampuni za simu wanawapa taarifa halafu wao wanatangaza publicly kuwa Wana software ya kudukua simu zote kukitokea isuue threat kwa Usalama wa nchi .Case close
 
Tena alisisitiza wanafata order za gvt
Hata Marekani iko hivyo Tena kule ni worse Hadi Bunge Lina order zake unazotakiwa ku comply YouTube walikiona Cha mtema kuni Bunge liliwabana Hadi kutia huruma ikabidi a comply.Sio mahakama Wala serikali .Bunge yaani fikiria Tigo wangeitwa bungeni hawajatukana Bunge Wala hawana business nao halafu wanakomaa wanasema we want this.Na aka comply. Ndio haya mambo ya registration za YouTube channel na licensing yakaibuka wakati owners walitaka iwe free platform ya watu ku express freely their views Kama freedom of speech requirements

Bunge likataka licensing na mtu ajulikane owner wa YouTube channel
 
Tafadhali someni hapa chini: Privacy Policies za makampuni mbali mbali ambayo wanachakata na kutunza taarifa binafsi za wateja (personal data). Sina upande wa ipi ni nzuri ipi ni mbaya. But be in the know! Chukua hatua kujilinda!

1. tiGo: Privacy Policy | Tigo Tanzania

2. Airtel: Online Privacy Policy

3. Vodacom: https://vodacom.co.tz/privacy

4. Zantel: as attached

5. Equity Bank: as attached

6. NIDA: https://nida.go.tz/swahili/

7. CRDB: as attached

8. NMB: StackPath

9. NBC: NBC | Data privacy statement

10. Exim: Exim Bank

11. ABSA: Absa Tanzania | Data privacy statement
 
Attachments

Tena alisisitiza wanafata order za gvt
Hata Marekani iko hivyo Tena kule ni worse Hadi Bunge Lina order zake unazotakiwa ku comply YouTube walikiona Cha mtema kuni Bunge liliwabana Hadi kutia huruma ikabidi a comply.Sio mahakama Wala serikali .Bunge yaani fikiria Tigo wangeitwa bungeni hawajatukana Bunge Wala hawana business nao halafu wanakomaa wanasema we want this.Na aka comply kuwa YouTube channel ziwe registered na owners wajulikane kwa licensing
 
Hiyo ndio practice dunia nzima lazima ufanye hivyo hata uwe Marekani au Ulaya compliance lazima

Kazi za kampuni za simu pote duniani sio kutunza Siri za wahalifu na magaidi
Huko marekani na china ugaidi unafadhiliwa kwa shilingi laki 5?????? Embu ficha ujinga wako bhana?? Huko marekani na china mashahidi wa ugaidi wanakuja mahakamani na tai???
 
Polisi ni chombo Cha kisheria mfano wewe no jambazi umepanga nyumba unafanya matukio .Hawahitaji kibali Cha kumhoji mwenye nyumba wako kukukuhusu wewe Kama customer Ataitwa polisi au polisi watafika kwake kumhoji kuhusu huyo jambazi wake customer . Kwenye mitandao ya simu wewe mpangaji tu mwenye nyumba ni kampuni ya simu ukifanya uhalifu au ugaidi polisi ruksa kudai information kwa mwenye nyumba sababu sio kazi za mwenye nyumba kutunza Siri za jambazi au mhalifu au gaidi lazima atamwaga kila kitu
You don’t know what you talking about! Umeonyesha uelewa mdogo sana kwa kutumia mfano huu wa mwenye nyumba ukilinganisha na taarifa za mteja kwenye kampuni kama ya Tigo.

IRRELEVANT!
 
Huko marekani na china ugaidi unafadhiliwa kwa shilingi laki 5?????? Embu ficha ujinga wako bhana?? Huko marekani na china mashahidi wa ugaidi wanakuja mahakamani na tai???
Issue sio amount kesi kibao mtu anatumwa kuua mbaya wake kwa elfu hamsini inategemea kiwango Cha umaskini alichonacho mhusika

Waganga wa kienyeji waweza mlipa elfu kumi akaua ukoo mzima kichawi

Pia wako magaidi wa kujilipua ambao hawahitaji hata kulipwa hata Mia anahitaji nauli tu na kuvalishwa mabomu ya kujilipua sembuse hiyo laki tano?

Hujui Kuna wanaojilipua bure bila kulipiwa hata Mia? Hiyo laki tano mbona nyingi sana
 
You don’t know what you talking about! Umeonyesha uelewa mdogo sana kwa kutumia mfano huu wa mwenye nyumba ukilinganisha na taarifa za mteja kwenye kampuni kama ya Tigo.

IRRELEVANT!
Mpangaji mteja .Mwenye nyumba kutoa Siri zako hahitaji kibali Cha mahakama kuzitoa polisi

Laini za simu wewe mpangaji tu waweza wao au TCRA wakiamua wanakuzimia tu
 
Kifungu hiki ndo kinaibana Tigo

Applicable law and jurisdiction​

The interpretation, use, scope and termination of this Notice is governed by the laws of the United Republic of Tanzania and, in case of dispute, the courts of Tanzania will have exclusive jurisdiction.

Yaani inamaanisha utekelezaji wa notice yao unaambatana na sheria za nchi, Sasa Tigo itueleze, je mpaka inatoa taarifa kwa polisi ilizingatia sheria za nchi?
 
Hiki kipengele ndiyo kimeharibu kabisa. Kama hiyo “legal purpose” ndiyo inaelezea ni kwa mazingira gani wanaweza ku share information za mteja, basi ni hovyo kabisa. Kwasababu kiko vague. Kwa muktadha wa kesi inayoendelea ya kina Mbowe, ni bora ingebakia hiyo ya “in the order of judicial authority”

“Legal Purposes: includes any treatment justified by the need to comply with applicable legal requirements, such as meeting a requirement of a governmental or administrative entity in the exercise of its functions or by order of a competent judicial authority”

Kwa kifupi kabisa, yule mwanasheria wao kilaza, yupo sahihi. Tigo ni wapuuzi kama jina lao. Ina maana kuwa, taasisi yoyote ya kiserikali, inaweza kupata taarifa za mteja wa Tigo kama wakizihitaji.

Hili suala ni la wananchi kulipinga kwa nguvu zetu zote.

Eti wanaweza kutoa taarifa zako just for “meeting a requirement of a governmental or administrative entity in the exercise of its function”

Bure kabisa Tigo.

Walau wewe umeliona tatizo lilipo,na usishangae kuwa sera hii ndiyo ipo Makampuni yote ya Simu hapa Tanzania.
 
Hata Marekani iko hivyo Tena kule ni worse Hadi Bunge Lina order zake unazotakiwa ku comply YouTube walikiona Cha mtema kuni Bunge liliwabana Hadi kutia huruma ikabidi a comply.Sio mahakama Wala serikali .Bunge yaani fikiria Tigo wangeitwa bungeni hawajatukana Bunge Wala hawana business nao halafu wanakomaa wanasema we want this.Na aka comply. Ndio haya mambo ya registration za YouTube channel na licensing yakaibuka wakati owners walitaka iwe free platform ya watu ku express freely their views Kama freedom of speech requirements

Bunge likataka licensing na mtu ajulikane owner wa YouTube channel
Sawa mkuu
 
umepagundua hapo safi sana,kwa mukhtadha huo wateja wa tigo tuko uchi tunapaswa kuamka maana hata sheria haikurahisisha namna hiyo kuhusu upatikanaji wa data.

Tafuta hata sera ya Vodacom ,Airtel na Halotel ni yale yale tu.
 
Huko marekani na china ugaidi unafadhiliwa kwa shilingi laki 5?????? Embu ficha ujinga wako bhana?? Huko marekani na china mashahidi wa ugaidi wanakuja mahakamani na tai???
Kwani ugaidi Una fadhiliwa Kwa kiasi gani hebu tuambie tujue,juzi Norway gaidi kauwa watu kadhaa Kwa kisu ambacho hata hakina thamani ya zaidi ya Dola moja (2300)
 
Back
Top Bottom