Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Mkuu humu lissu hatakiwi kusemwa vibaya, ukimsema vibaya unatandikiwa ban
 
Ndio maana yake Mkuu maana yake kama kuna jimbo lina uhaba wa raslimali ndio hivyo mtajifia kwa umasikini na kwenda jimbo lingine ni kama unahama Nchi
kila nikisikia hii sera nawaza ubaguz tunaoneda kuwapa mikoa mfano kondoa kwa vile wao hawana rasilimal basi wabakie masikin miaka yao yote. mashindwe kabisa haya mapipoz
 
Watu wenye majina ya ovyo mnaongea Mambo ya ovyo ovyo.
 
kwanza sipendi majimbo yataleta shida. Watatokea hao ndio magavana mmoja atasema mbona sisi tuna dhahabu yetu nyingi na hao kuna shida ya hiki ya hiki.

Kwa nini pesa iende nje? kikao chao sijui mameya wanapitisha azimio nyumban kwanza.

Kinachofata majimbo mengineyo nayo yatasema mbona sisi Samaki wetu ,hawa nao hivo hivo. Sera ya majimbo haifai labda kwa vile inasemekana kuna ni maagizo

Nimekwazika sana
 
Yani hapa ndipo ilipofeli naona wanataka kutuletea ukabila na udini hapa miongoni mwetu wananchi wa Tanzania.
 
Hili vijana wa Chadema wanaogopa kuliongelea ila hawalipendi?

Kwanini tubaguliwe kwa majimbo yetu ? Chadema huu ubaguzi hautawaacha salama
Yani hapa ndipo ilipofeli naona wanataka kutuletea ukabila na udini hapa miongoni mwetu wananchi wa Tanzania.
 
Tutakutana tarehe 28.labda nikuulize swali unapimaje hayo maneno yako kwa vitendo??
 
Chadema wameingia kwenye mtego wa Wazungu wa kuivuruga Nchi yetu ila kamwe hawataweza
 
Nipo kwenye kampeni ya kitanda kwa kitanda, Wananchi wamechukia sana hii sera ya Chadema ya majimbo kwani italeta ukabila na udini
Tutakutana tarehe 28.labda nikuulize swali unapimaje hayo maneno yako kwa vitendo??
 
Jamii forums imevamiwa na wapumbavu .eti serikali ya majimbo itagawa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…