Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Naenda against na hii seraNi haki yako kuamua nani akapambane upate maji safi na afya bora
Embu elezea canada kuna ubaguzi gani?Na ukiangalia Nchi nyingi ambazo zinatumia mfumo wa majimbo zinaubaguzi wa hali ya juu, angalia canada Nchi iliuoendelea lkn kuna ubaguzi sana kutoka jimbo moja kwenda lingine
Angalia Nigerian ukabila na udini umetawala sababu ya sera za majimbo
Pole Anne hukuielewa tu... Dig deepNaenda against na hii sera
Sera zenu nyingi tu niliunga mkono lakini hii hapana kwakweli.
Siwezi kuikubali na kwa hii kura yangu siwapi.
Nan alikwambia Kondoa litakua jimbo...hii nchi inaweza tengeneza majimbo chini ya 10 ....halafu mnaona hamna rasimali kwa sababu rasimali zilizopo hapo hazjapewa usimamiz mzr na wa kimkakat..maeneo mengi yana rasimali nyng lkn exploration yake iko chini kwa sababu ya priority setting za serikal ambazo ni poor...kila nikisikia hii sera nawaza ubaguz tunaoneda kuwapa mikoa mfano kondoa kwa vile wao hawana rasilimal basi wabakie masikin miaka yao yote. mashindwe kabisa haya mapipoz
Chadema wanachotaka kufanya ni kuendelea kuwaletea shida watu wa kilimanjaro.Kabla ya ujio wa Chadema walikuwa wako vizuri sana sasa kinataka kuleta shida ya majimbo huku kikijua kabisa kwenye sera ya majimbo wazawa ndio wamiliki wakuu wa raslimali zote na fursa.Chadema wanajua kabisa kilimanjaro kuna uhaba wa ardhi na fursa za kazi na biashara na watu kilimanjaro ndio wanufaika wakubwa wa huu mfumo wa serikali moja sababu waweza kwenda jimbo lolote wakapata kazi,ardhi .fursa za kibiashara nk wakati chini ya mfumo wa majimbo hilo hamna kama wamesoma hata vipi waende kwao jimboni kwao wakatafute kazi huko ,ardhi huko na fursa za biashara hukoKwa hiyo Mbowe anataka kuilete tena ili wajitenge. Haitawezekana ndugu yangu. Chadema imeonesha dharua kubwa sana kwa watanzania. Tutaiadhibu vibaya kwenye kura siyo tu ya Rais bali hata wabunge na madiwani
Unajua kuwa 50% ya wachaga hawaishi Kilimanjaro ?
Wamesambaa mikoani
October 28 inaadhibiwa CCM au Chadema??Kwa hiyo Mbowe anataka kuilete tena ili wajitenge. Haitawezekana ndugu yangu. Chadema imeonesha dharua kubwa sana kwa watanzania. Tutaiadhibu vibaya kwenye kura siyo tu ya Rais bali hata wabunge na madiwani
Kwamba kutoishi KLM kunawaaffect vipi? Au kwa uelewa mwembamba mnajua shughuli za kiuchumi zitasimamishwa?Unajua kuwa 50% ya wachaga hawaishi Kilimanjaro ?
Wamesambaa mikoani
Mmeona propaganda zenu zote zimefeli mbarudi kwenye ukabila???? Kweli CCM mna laanaChadema wanachotaka kufanya ni kuendelea kuwaletea shida watu wa kilimanjaro.Kabla ya ujio wa Chadema walikuwa wako vizuri sana sasa kinataka kuleta shida ya majimbo huku kikijua kabisa kwenye sera ya majimbo wazawa ndio wamiliki wakuu wa raslimali zote na fursa.Chadema wanajua kabisa kilimanjaro kuna uhaba wa ardhi na fursa za kazi na biashara na watu kilimanjaro ndio wanufaika wakubwa wa huu mfumo wa serikali moja sababu waweza kwenda jimbo lolote wakapata kazi,ardhi .fursa za kibiashara nk wakati chini ya mfumo wa majimbo hilo hamna kama wamesoma hata vipi waende kwao jimboni kwao wakatafute kazi huko ,ardhi huko na fursa za biashara huko
CHADEMA ni pepo lililotumwa na shetani kuja kuumiza watu wa kilimanjaro.Watu wa kilimanjaro msipolikataa hili pepo sanduku la kura na kulikemea litoke kwa Jina la Yesu litawamaliza.Mnaliona linaingia part two ya kuwamaliza kwa kutaka serikali za majimbo!! mwenye macho haambiwa tazama.Pepo Chadema hilo hapo kazi kwenu.
Hawana akili hawaKwamba kutoishi KLM kunawaaffect vipi? Au kwa uelewa mwembamba mnajua shughuli za kiuchumi zitasimamishwa?
Kwa kweli sidhani kama nahitaji kuisoma sanaPole Anne hukuielewa tu... Dig deep
Wanatia huruma hawa... Giza tupuHawana akili hawa
Magufuli anaesema hatopeleka maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani ndiye anaewagawa watanzania. Chadema inawaunganisha watanzaniaChadema ni wahuni, Watanzania hatutakubali Chadema watugawe
Hawa wahuni tunawazika October
Majimboism is the way to the devolution of the governance structure of the country where the grassroots will have the power to make decisions in a bottom up approach...many people in this country are stupid and this is the reason why there is enormous amount of poverty, ignorance and underdevelopment and majimboism is the only way to go.
Where does that ubaguzi comes from? Hebu nieleweshe wapi na kwasababu ipi?Kwa kweli sidhani kama nahitaji kuisoma sana
Ni kweli sijaielewa na mimi si mzuri Sana kwenye kusoma Soma vitu kwa undani lakini hii Mimi nimeikataa.
Yawezekana Ina mazuri mengi ila mimi nilishaikataa.
Hasara zake ni nyingi..yaani tuanze kuishi kibaguzi kwenye nchi iliyopiganiwa kwa nguvu zote na baba wa taifa!?!
Hapana kwa kweli..sorry for disappointing you [emoji4]
naezikwa October ni anayetaka kuoa mwanamke kutoka kila sehemu hapa TanzaniaChadema ni wahuni, Watanzania hatutakubali Chadema watugawe
Hawa wahuni tunawazika October
Mkuu hivi nalo hili ni la kuuliza?(kidding)[emoji1787][emoji1787]October 28 inaadhibiwa CCM au Chadema??
Kwanini wagawe majimbo??Where does that ubaguzi comes from? Hebu nieleweshe wapi na kwasababu ipi?