Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilo bando lako kanywe bia tu jombaa sio kuja kuandika humu kwenye mfumo wa majimbo kuna visa kutoka jimbo moja hadi lingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani wewe ni certified kilaza kwenye jukwaa hili jombaa
Huwezi nipangia matumizi ya bando [emoji1787]
Nalitumia ninavyotaka mimi mwenyewe

Sawa certified kilaza mwenzangu aliyepoteza ada shule.
 
Huwezi nipangia matumizi ya bando [emoji1787]
Nalitumia ninavyotaka mimi mwenyewe

Sawa certified kilaza mwenzangu aliyepoteza ada shule.
Hahahahaha ukiwa na jambo karibu nikupe shule. Naelewa sana UPE ni muhimu. Ila sio kosa lako, ni kosa la Ccm kuharibu elimu ya watanzania Ndo mana ukapatikana wewe na iyo akili yako😂
 
Hahahahaha ukiwa na jambo karibu nikupe shule. Naelewa sana UPE ni muhimu. Ila sio kosa lako, ni kosa la Ccm kuharibu elimu ya watanzania Ndo mana ukapatikana wewe na iyo akili yako[emoji23]
CCM umewaingiza vipi hapa???
Nilishakwambia sihitaji elimu yako...ningetaka kusoma ningekuwa nishaenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Bora elimu ya Tanzania kuliko elimu yako uliyoipata mwisho wa siku umeishia kuwa hivyo.

Kwanza ngoja nikupe dera kabisa uvae ili tusutane vizuri
 
Chadema sera ya majimbo wangeicha maana ni kigawa nchi vipande vipande.
Sera ya majimbo haigawi nchi ila inaweka nchi pamoja na kuharakisha maendeleo ya kweli kwa watanzania wote!! Rasilimali za nchi zinatumika vizuri kwa maelekezo ya wananchi na mahitaji yao

Anaeigawa nchi vipande vipande ni Magufuli anaesema hatipeleka maendeleo kwa wapinzani wakati kila mtanzania analipa kodi na maendeleo si hisani ya Raisi
 
Kumbe ndo tuwajinga ivi,,,,kwaiyo kila aliyejiunga mwaka huu mwezi wa nane ni wa Lumumba ,kumbe inaonekana unanifahamu hadi ninapolala hahaha Leo ndo nimeona ujinga kichwani kwa mtu,kumbe watu hawaruhusiwi kuhoji kipindi cha uchaguzi
 
CCM umewaingiza vipi hapa???
Nilishakwambia sihitaji elimu yako...ningetaka kusoma ningekuwa nishaenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Bora elimu ya Tanzania kuliko elimu yako uliyoipata mwisho wa siku umeishia kuwa hivyo.

Kwanza ngoja nikupe dera kabisa uvae ili tusutane vizuri
Lazima niwaingize CCM kwa sababu akili yako ni matokeo ya mfumo wao mbovu wa elimu !!!

Haiwezekani binadamu mwenye akili Nzuri uliesoma elimu bora uje useme humu unaitaji visa toka jimbo moja hadi lingine kwenye mfumo wa majimbo 😂😂😂😂😂

CCM wana laana sana kwa kweli!!!

Yaani mzee pamoja na kutoa boko Ila bado unajimwamvafai humu!!! Chutamaaaa mzee umeaibikaaaa 😂😂😂😂
 
Kumbe ndo tuwajinga ivi,,,,kwaiyo kila aliyejiunga mwaka huu mwezi wa nane ni wa Lumumba ,kumbe inaonekana unanifahamu hadi ninapolala hahaha Leo ndo nimeona ujinga kichwani kwa mtu,kumbe watu hawaruhusiwi kuhoji kipindi cha uchaguzi
Wenyeji humu tunajua id za kimkakati ni zipi!! Umechelewaaa saaana!!
 
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu

Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania

Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema

Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi

Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo

Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua

Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini

Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi

Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm

Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria

Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe

Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
Delete ccm Oct 28
 
Nimeanza kusoma nikafikiri kuna cha maana kumbe ni debe la bangi.
 
K​
Wenyeji humu tunajua id za kimkakati ni zipi!! Umechelewaaa saaana!!
hahaha kumbe wanaojiunga mwaka wa uchaguzi ni kijani pure,unajishtukia sana hahaha kumbe umetawaliwa na hisia zaid kuliko kufikiri sawasawa,huwaga nafurahi sana mtu yupo nyuma ya keyboard afu anakuchukulia tofauti na uhalisia wako well,,ila siku nyingne punguza mhemko siyo kila post unacomment negative fikiri kabla ya kutype ok
 
Kama mnajiamini kweli basi wekeni ulingo wa mapambano uliowazi, nasio kutaka watu wapigane na huku mwingine kafungwa kamba mkononi na mwingine mikono yake haijafungwa kamba.

Hakuna kipindi ambacho mmekuwa waoga kama uchaguzi huu, halafu mnafanya vitu vya uonevu wa wazi wazi wakati mlikuwa mnadai mnapendwa na wananchi na mmefanya mambo mengi ya maendeleo.

Mwambie mgombea wenu aache uoga, ushujaa wa mwanaume kushinda vita ni kupambana kwa jitihada zako sio kubebwa bebwa kwa wazi kabisa hata mtoto mdogo anaelewa
Op(out of point) kasome uz upya
 
Acha porojo mkuu afu hukuwa na haja ya kuandika gazeti refu hivi... Mtu ni jaji wa mahakama kuu pale Kisutu so kwa vile ni mKLM ataachishwa kazi ama vipi... Ndio maana nasema mnakurupikia jambo ambalo hamjalielewa.
Ataenda kuwa jaji mahakama ya Jimbo lake la Kilimanjaro kesi zote za majimbo zitaishia huko huko majimboni kasoro kesi za mambo tu ya Muungano Kama vile za katiba ndizo zitapelekwa mahakama katiba ya nchi

Majaji wa kesi zingine sijui za wizi sijui au mauaji,ubakaji nk wataenda Kwao kwenye majimbo wakahukumu huko na watalipwa na majimbo Yao sio serikali kuu

Mahakama kuu itabaki na kesi za kitaifa tu zinazohusu taifa Kama taifa tu

Muundo wa majimbo ukianza na muundo wa mahakama unabadilika haubaki ulivyo Sasa.Maeneo yote yanabadilika kuanzia serikali,Bunge na mahakama mifumo inabadilika

Sera ya majimbo haigawi nchi tu pia inagawa Bunge, serikali na mahakama mihimili yote inakatwa mapanga vipande vipande
 
Hiyo bia yenu ni bia gani?
Hii hapa
JamiiForums1171215835.jpg
 
Back
Top Bottom