Sera ya 'Maridhiano' ya Samia Suluhu inarudisha wizi Serikalini

Sera ya 'Maridhiano' ya Samia Suluhu inarudisha wizi Serikalini

Magufuli alitumia fedha ya Serikali HOVYO ikiwa ni pamoja na;
1. Kujengea miundombinu Kama ya Uwanja wa Ndege, Hospitali ya Rufaa kijijini kwake Chato..
Ndo ushahidi wako huo!Aliyefikiri kuwaita nyumbu aliona mbali sana
 
Lini wizi ulikoma.Awamu iliyopita ingezibiti wizi kina bashite,sabaya wasingekuwa mabilionea
 
Magufuli alitumia fedha ya Serikali HOVYO ikiwa ni pamoja na;
1. Kujengea miundombinu Kama ya Uwanja wa Ndege, Hospitali ya Rufaa kijijini kwake Chato..
4. Kujenga Dodoma
5. Kujenga ikulu mpya kwa bilioni 500 unnecessary huku watoto wakikaa chini
 
Hata kama watu wanamchukia JPM ila hawataki kurudi awamu ya 4. Kama wezi wa awamu ya 4 wanajipa moyo wameshinda watajua hawajui.
 
Suala la ku-sacrifice maisha ni propaganda tu. unataka rais wetu afe kwa covid? Kufa kizembe sio sifa. Maridhiano haina maana ya wizi na ubadhirifu wa mali ya umma, bali kuwa na upendo na umoja kama taifa. Kufuta upendeleo, chuki, ubaguzi na meingine kama hayo.

Unachopenda wewe usiseme watanzania ndichowanapenda.

Nani alimfurusha CAG aliyebainisha wizi wa 1.5t? Nani alinunua ndege bila kufuata taratibu za manunuzi ya umma?Nani alifanya biashara haramu ya kununua wanasiasa wa upinzani na kuligharimu taifa chaguzi za marudio? n.k.

Na sasa muamini mwendazake keshaenda na milele hatarudi
 
Lawama zimekuwa nyingi sana kwa Raisi wetu,mimi nina nacho ona ni kuwa safu ndio kwanza inapangwa, tumpe muda safu ikiwa kamili ndio tuanze kutoa lawama kwa makosa yatakayokuwa yanajitokeza,kwa sasa ni mapema sana kulaumu....
 
Wizi ulikuwepo tu, ila ulikuwa hausemwi kwa woga, ushindi ni wizi wa madawa, walikuwa wazee tu wanalia hawapati dawa leo ndio wanasema zinaibiwa na wafanyakazi wasio waaminifu nao ni wengi!
 
Watanzania wanajua rais wanayemtaka.

Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi....
Mbele ya watu wanamshangilia 😳😳!! Hakuna logic hapo kweny kushangiliwa mbele za watu, maan wabongo weng ni non educated na asilimia kubwa sio wafuatiliaj wa mamb.

Wao ukisimama jukwaani ukawaaminisha jamb wanashangalia kama wehu. Upigwaji ulikuepo, mnasifia cjui enz zake wakati mlipaswa kutengeneza taasisi imara na sio mtu imara ili iweze kujisimamia na katiba ambayo itakua na nguv ya kuwawajibisha wezi wote bila kujali ni Rais au la.
 
Ndo ushahidi wako huo!Aliyefikiri kuwaita nyumbu aliona mbali sana
Siyo kila Mtanzania anayejitambua ni CHADEMA. Mara nyingine jaribuni kutumia akili katika argument.

Leta hoja kujibu hoja
 
Kipindi cha mwendazake fedha zilikuwa zinaibwa sana tu,rejea ripoti ya CAG.
Wacheni kazi iendelee.
Go Mama Go
Taarifa za ukweli zimekuwa bidhaa adimu Sana nchi hii kutokana na siasa, uwoga, njaa na hofu ya kupoteza nafasi. Nawasi wasi watu wengi tunatembea na lundo la taarifa zisizokuwa na ukweli. Ila sijamaanisha CAG kasema uwongo au ukweli mimi sijui.
 
Watanzania wanajua rais wanayemtaka. Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi lakini hapa tunaye rais anayeongea kuhusu maridhiano na anawawezesha watu kuiba tena.

Si ndio maana watu walikuwa wanauliza kama mwanamke anaiweza hii kazi ya urais. Rais hachaguliwi ili aonyeshe jinsi alivyokuwa na huruma. Rais anapaswa kutenda haki.

Tunataka maridhiano au tunataka rasilmali za nchi ziwe salama? Again tunasema,rais anafanya mambo mengi mechanical. Anapanga safu yake lakini kazi inakuwa too intimidating. Kama wamemdukua Mwendazake,watanishindwa mimi?

Ndio hapa watu wanakwama. Wanasema kazi iendelee lakini kazi haiendelei. Watu wanakamatwa red-handed tunaambiwa wakae kando wapishe uchunguzi,watu ambao Magufuli angewashughulikia papo kwa papo,mbele ya watu wengi wanamshangilia.
Kwani wizi serikalini uliisha lini? Watu walikuwa wanapiga tu kwa mbinu mbadala!!!!
 
Hivi ni toka lini makada wa chama tawala waliojazana na kupewa vyeo ndani ya serikali wamewahi kuuacha kuiba na kufanya ufisadi wa fedha za umma? Ukiona pesa zimepigwa ujue tu hiyo ni "syndicate" ambapo ndani yake "beneficiaries' ni wengi.

Hata wakati wa mwendazake hali ilikuwa ni hiyo hiyo tu, isipokuwa jamaa alikandamiza mno uhuru wa kupatikana kwa habari. Mama Samia, Rais wetu ndiyo kwanza ana siku zisizozidi 100 tangu aishike nafasi hiyo nyeti. Kwa hiyo bado ana muda wa kujipanga zaidi ili kuiweka nchi ktk mstari sahihi.
Tena hali ndiyo ilikuwa mbaya zaidi kuliko hata sasa
 
Si mlisema atatuvusha na mama anatosha! Leo hii marehemu kawa mwema tena?
leave some of this people alone, they barely have enough intelligence to comprehend what a fuction gorverment is, have never seen one, can you imagine he is saying jiwe was doing things on the spot, while we know he was the thieve number one of tz tax payers money
 
Back
Top Bottom