Sera ya 'Maridhiano' ya Samia Suluhu inarudisha wizi Serikalini

Sera ya 'Maridhiano' ya Samia Suluhu inarudisha wizi Serikalini

Yule aliyewajengea wakwe zake daraja la busisi kwa bilioni 700 hakuwa mwizi?

Akajijengea uwanja wa ndege kijijini kwake hakuwa mwizi?

Anawatuma sabaya na makonda wanyang'anye pesa wafanyabiashara hakuwa mwizi?

Kaa kwa kutulia wewe uliyekata tamaa ya kuishi baada ya mwizi mkuu kutoka chato kudanja!
Mwenyezi Mungu apewe sifa na utukufu.
 
Basi ingelikuwa ndivyo hivyo "kusingelikuwa na haja ya kuwa na "mahakama... mapolisi... Takukuru... uhamiaji... na... na... na..." zaidi ya yote tusingelihitaji katiba wala utawala wa sheria!!!

Kimsingi nchi huendeshwa na taasisi imara na si mpiga firimbi mmoja mwenye wapambe wasiojielewa wanataka nini... fitna aliyoiacha itapotea kama unyevu jua liwakapo "wanyonge bhana!"
Wanyonge ni watu wa kipekee!😅😂
Tuwaangalie kwa jicho tofauti!

Everyday is Saturday..............................😎
 
Wanyonge ni watu wa kipekee!😅😂
Tuwaangalie kwa jicho tofauti!

Everyday is Saturday..............................😎
Wanyonge ni janga la taifa!! Watu walishakatishwa tamaa na wakakubali kukata tamaa hata kujivika unyonge wasiotaka kuuvua!!
Malofa na wapumbavu... alijisemea yule mzee!!
 
Watanzania wanajua rais wanayemtaka. Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi lakini hapa tunaye rais anayeongea kuhusu maridhiano na anawawezesha watu kuiba tena.

Si ndio maana watu walikuwa wanauliza kama mwanamke anaiweza hii kazi ya urais. Rais hachaguliwi ili aonyeshe jinsi alivyokuwa na huruma. Rais anapaswa kutenda haki.

Tunataka maridhiano au tunataka rasilmali za nchi ziwe salama? Again tunasema,rais anafanya mambo mengi mechanical. Anapanga safu yake lakini kazi inakuwa too intimidating. Kama wamemdukua Mwendazake,watanishindwa mimi?

Ndio hapa watu wanakwama. Wanasema kazi iendelee lakini kazi haiendelei. Watu wanakamatwa red-handed tunaambiwa wakae kando wapishe uchunguzi,watu ambao Magufuli angewashughulikia papo kwa papo,mbele ya watu wengi wanamshangilia.
Umeandika Takataka
 
Wakati wa magu wezi waliiba vizuri, Ila wakati huu wezi wanaiba vibaya
 
Kipindi cha mwendazake fedha zilikuwa zinaibwa sana tu,rejea ripoti ya CAG.
Wacheni kazi iendelee.
Go Mama Go
ni watz tu ambao naona mindset zetu ziko tenge.huwezishabikia wezi wakati wananchi wengi hasa huko vijijini wanakufa kwa kukosa hata panadol.ndo maana hata elimu zetu hizi hazitusaidii kutuvusha popote.zimekuwa elimu za vitabuni ambayo haiakisi uhalisia.
 
Back
Top Bottom