fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Ndo ushahidi wako huo!Aliyefikiri kuwaita nyumbu aliona mbali sanaMagufuli alitumia fedha ya Serikali HOVYO ikiwa ni pamoja na;
1. Kujengea miundombinu Kama ya Uwanja wa Ndege, Hospitali ya Rufaa kijijini kwake Chato..
4. Kujenga DodomaMagufuli alitumia fedha ya Serikali HOVYO ikiwa ni pamoja na;
1. Kujengea miundombinu Kama ya Uwanja wa Ndege, Hospitali ya Rufaa kijijini kwake Chato..
Kwamba utawala wake hakukua na wizi??? Nyie watu 🤣🤣🤣Hamna kitu aseee km ndo waiz wanabembelezwa imekula kwetu
Tutamkumbuka Sana jpm
Mbele ya watu wanamshangilia 😳😳!! Hakuna logic hapo kweny kushangiliwa mbele za watu, maan wabongo weng ni non educated na asilimia kubwa sio wafuatiliaj wa mamb.Watanzania wanajua rais wanayemtaka.
Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi....
Siyo kila Mtanzania anayejitambua ni CHADEMA. Mara nyingine jaribuni kutumia akili katika argument.Ndo ushahidi wako huo!Aliyefikiri kuwaita nyumbu aliona mbali sana
Taarifa za ukweli zimekuwa bidhaa adimu Sana nchi hii kutokana na siasa, uwoga, njaa na hofu ya kupoteza nafasi. Nawasi wasi watu wengi tunatembea na lundo la taarifa zisizokuwa na ukweli. Ila sijamaanisha CAG kasema uwongo au ukweli mimi sijui.Kipindi cha mwendazake fedha zilikuwa zinaibwa sana tu,rejea ripoti ya CAG.
Wacheni kazi iendelee.
Go Mama Go
Imeisha hiyoo 🤣🤣🤣Hamna kitu aseee km ndo waiz wanabembelezwa imekula kwetu
Tutamkumbuka Sana jpm
Kwani wizi serikalini uliisha lini? Watu walikuwa wanapiga tu kwa mbinu mbadala!!!!Watanzania wanajua rais wanayemtaka. Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi lakini hapa tunaye rais anayeongea kuhusu maridhiano na anawawezesha watu kuiba tena.
Si ndio maana watu walikuwa wanauliza kama mwanamke anaiweza hii kazi ya urais. Rais hachaguliwi ili aonyeshe jinsi alivyokuwa na huruma. Rais anapaswa kutenda haki.
Tunataka maridhiano au tunataka rasilmali za nchi ziwe salama? Again tunasema,rais anafanya mambo mengi mechanical. Anapanga safu yake lakini kazi inakuwa too intimidating. Kama wamemdukua Mwendazake,watanishindwa mimi?
Ndio hapa watu wanakwama. Wanasema kazi iendelee lakini kazi haiendelei. Watu wanakamatwa red-handed tunaambiwa wakae kando wapishe uchunguzi,watu ambao Magufuli angewashughulikia papo kwa papo,mbele ya watu wengi wanamshangilia.
Tena anyamaze haraka snYule aliyewajengea wakwe zake daraja la busisi kwa bilioni 700 hakuwa mwizi?
Akajijengea
Tena hali ndiyo ilikuwa mbaya zaidi kuliko hata sasaHivi ni toka lini makada wa chama tawala waliojazana na kupewa vyeo ndani ya serikali wamewahi kuuacha kuiba na kufanya ufisadi wa fedha za umma? Ukiona pesa zimepigwa ujue tu hiyo ni "syndicate" ambapo ndani yake "beneficiaries' ni wengi.
Hata wakati wa mwendazake hali ilikuwa ni hiyo hiyo tu, isipokuwa jamaa alikandamiza mno uhuru wa kupatikana kwa habari. Mama Samia, Rais wetu ndiyo kwanza ana siku zisizozidi 100 tangu aishike nafasi hiyo nyeti. Kwa hiyo bado ana muda wa kujipanga zaidi ili kuiweka nchi ktk mstari sahihi.
leave some of this people alone, they barely have enough intelligence to comprehend what a fuction gorverment is, have never seen one, can you imagine he is saying jiwe was doing things on the spot, while we know he was the thieve number one of tz tax payers moneySi mlisema atatuvusha na mama anatosha! Leo hii marehemu kawa mwema tena?
Uzuri kumkumbuka ni bure. Unaamua tu umkumbuke kwa mtindo upi na kiwango gani.Hamna kitu aseee km ndo waiz wanabembelezwa imekula kwetu
Tutamkumbuka Sana jpm
Tuko awamu ya 6.Hata kama watu wanamchukia JPM ila hawataki kurudi awamu ya 4. Kama wezi wa awamu ya 4 wanajipa moyo wameshinda watajua hawajui.