Sera za kuwabeba "masikini" zinaua miji

Kwahyo unataka kuruka hatua? Hiv unahis Tz, nchi za africa masharik na nyingne tuko hatua gan za kiuchum.....fatilia china .dubai.malaysia etc miaka 30 iliyopita walikua na mazingira gan...kwasis tunaojua ni kwamba miak 30-40 nyuma hzo nchi zilikua zna machinga had mdomon mwa majij yao...lakin ndio ilikua hatua yao husika..so nasis tutavuka pia hatua hii na tutakua kama unavyotaka....tatzo la utandawazi ndo hili. una access ya kuangalia whats goin on on the other side bas unahis we are on same level ya kimaendeleo...sis tuko miaka 400 nyuma ya hao jamaa..so subir tufike hatua hyo ndio utakua na legitimacy ya ku argue hvyo...mkuu...tz na vinchi hvi vya africa baaaado sanaaa...yaan saaaana
 
Hujui chochote wew...uko behind keys una type.. cant argue with....
 
Nyie watu mna akili finyu sana.
We spend billions kujenga miundombinu ya kistaarabu, halafu mnawatetea waharibifu wa ustaarabu huo kwa kigezo eti na China walipitia huko.

Tuonyeshe sebule yako ili tuje tupange biashara na tujisaidie upenuni mwa nyumba yako.

Kwelu ushamba haujifichi.
 
Mimi kama machinga nimewaelewa vizuri kabisa.

Swali
nifanye ni sasa kujipatia kipato changu cha kilasiku??

je nifanye photosynthesis kama mmea??
 
Mimi kama machinga nimewaelewa vizuri kabisa.

Swali
nifanye ni sasa kujipatia kipato changu cha kilasiku??

je nifanye photosynthesis kama mmea??

Utakuwa machinga mpaka unazeeka wakati utaingia huku huku kumiliki duka na kulipa yote wanayosema .maisha na biashara ya taratibu bila taratibu tutabaki kurudishana nyuma
 
Utakuwa machinga mpaka unazeeka wakati utaingia huku huku kumiliki duka na kulipa yote wanayosema .maisha na biashara ya taratibu bila taratibu tutabaki kurudishana nyuma
Sijaelewa ukichojibu, swali langu lipowazi hapo naomba jibu la swali
 
Hao ndo wamama waliozaa hao unawaita maskin...yaan mtanzania ukianza kushika vi lak mbil mbili unaona umeyapatia...pumbav sana we jamaa
Mimi masikini vizuri tu kwa sahivi bado ila jmaa yuko sahihi. Katika nchi lazima wawepo maleader kiuchumi huwezi kuweka mambo kiholela holela 2. Inatakiwa gharama za kuishi mijini zipandishwe tu mpaka wakimbie watu. Serikali iweke standard fulani kwa kukadiria labda mtu anaeingiza kiasi fulani anaweza kuishi standard gani then iletwe bei elekezi ya hadi pipi 2 na iwe juu. Afu usipende kuabudu wazazi sana nao ni binadamu kama wewe tu ila tu waheshimu. Unawatetea hao si wanaendelea kutuzalia masikini wengi kwa kiasi kikubwa wangeenda vijijini huko atleast watapata maisha ya afadhali. Cha ajabu wanawalaza njaa watoto wao hawapati elimu bora hawapewi misingi mizuri mbaya zaidi hawafundishwi kuwa huru kiuchumi. Tatizo kubwa la Tanzania naliona ni kitendo cha serikali kutumia sera mchanganyiko kijijini na mjini. Weka utaratibu swaga masikini waende vijijini matajiri wabaki mjini then tenga sera za vijiji na miji. Wa kijijini akiqaulify anaeza rudi mjini na wa mjini akishindwa ataenda kijijini akajaribu sera tofauti labda anaweza kilimo kuliko biashara. Miji wakijaa madoni kijijini watapata changamoto fulani kutokana na gepu la maisha watajaribu kukeep up the pace. Halafu miji mikubwa ikikuwa ile mentality itasambazwa nchi nzima na itazaliwa miji mipya mingi zaidi. Huwezi ukawa na dar haikui unatarajia katavi ikue.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Stendi ya Dodoma nanenane umeenda mkuu? yaani ni aibu sana, vibanda vya maturubai ndani ya stendi nzuri kama ile. Kwanini wasiwe wanajenga vifremu vidogo vidogo kwaajili ya hao wanyonge wenye mitaji midogo.
Siasa imeingizwa ili atimize malengo yake angalau kwa miaka 7 afu hao machinga watamkoma

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Umefunguka mkuu kweli umeongea mazingira halisi aisee. Mi mwenyewe umenikumbusha kitu kweli kwa nchi yetu ni ngumu.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sema huku kwetu too much kweli aisee. Yani sahivi posta panakuwa vile. Afu tanzania ndo inawaua uchumi kidogo kidogo yenyewe. Mi nadhani mara nyingu ukichanganyikana ujinga na uelewa ujinga huwaga na nguvu nadhani hata kwenye umasikini nd hivo hivo aisee. Masikini asichekewe hata kidogo asikae maeneo hovyo hovyo. Ujue kitu kama jiji ni inspiration kwa nchi waliopo nje wanatamani waingie na waliopo ndani hawatamani watoke hivo kungekywa na ugumu kuongeza challenge hapo. Ujue inatakiwa sometimez tuangalie tabia ya wananchi nd tutunge sera tusiige hovyo hovyo.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wabunge na madiwani tulowachagua kwa kura za vishindo mbona hawalisemi hili katika mikutano ya mabaraza?
 
Bro wew ndio mshamba...sbaba akil yako bado haijachanganua mambo katika ukwel...hauna logical thinkin...

Chukua picha za zaman za familia yenu alizopiga baba ako na mama ako na nyie watoto..halaf ziangalie...utaona mambo meng ambayo kwa sasa una wish ungerekebisha kwenye picha hzo..kama makochi..shaby cloths..hata mitindo ya nywele .well kwa wakat huo vilifana sana ila kwaa sasa hapana huwez piga picha nmna hyo. Same to tunachokiongelea hapa.. wakat bado..narudia tena.wakat bado..hatunafikia level hyo ya civilization na city planning..na ndomana wanasema kinachofanya waafrica tusiendelee ni utandawaz..yaan tuna practice njia za uchum za nchi ambazo zmetupita au tuko nyuma mara 500...mnaacha kufanya sustainable farming kama uti wa mgongo mnahamia kwenye modern economy..sjui hik mara kile. Sabba watu weusi hatuna akil..ndo wewe sada mtoa.mada..huwez nielewa sabab ubongo wako hauwez chakata nachoongea..ila ukikakaa na kutulia utanielewa...

Ndio alichoongea rais juz umeka stand ya mabas ya kisasa mbez.wateja wa hayo mabasi ni watu maskin..unawawekea restaurant za maelfu ya pesa ya chakula..hiv kwel kuna akil .na hapo unawazuia wauza vyakula vya kawaida..hata mahind na apple wasiingie ndan ..una akil kwel. Sasa mtoa mada ndo watu wenye akil kama hyo...ni sawa na mfanya biashara mwenye malengo kwenda kuuza baga buguruni...ni upumbafu...ncho yetu bado haijafika huko...machinga na wafanya biashara wa hovyo wa holela lazima wawepo...kadiri maendeleo yanavyokuja.wataji sort wenyew na wataondoka..we unafkir wanakaa barabaran wanamuuzia nan..hao hao unaowaona matajir wa kwenye magar ndo wanunuz wakubwa.so uchumi badoo sana mjinga wew sikujib tena sbabu naona huna akil
 
Katika nchi yenye nature ya uvivu ubepari unafaa zaidi. Kuwe na survival for the fittest scheme nd tutaenda. Huwezi ukaleta ujamaa kwa lazy people kiasi hichi unanyonya wachache nd maan kodi zinapanda zinatumika gharama ambazo zitahitaji kuwabeba na masikini wakati kodi anakatwa tajiri huo ni uonevu. Hamuezi mkatumia miundo mbnu ya aina moja na maskini anachangia 20 mwaka mzima halafu yeye mwenyewe nd anaongoza kwa kuharibu tena hyo miundo mbinu.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama machinga nimewaelewa vizuri kabisa.

Swali
nifanye ni sasa kujipatia kipato changu cha kilasiku??

je nifanye photosynthesis kama mmea??
Tuna plan tuwapeleke vijijini mkajipatie ardhi mtaweza kujenga na vyoo vya kujisaidia sio kuharibu ela za wenzenu. Mnachafua barabara serikali inaingia gharama kukarabati afu kumbe kodi ni za wenzenu wenye uwezo mpana.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Si argue na wapumbavu..sabab naona hakuna logical thinking hapa.nyie ni wale mnaenda uza baga au piza bugurun au tandale. Akil ndogo..mnafosi ka nchi maskin kawe na civilization ya nchi za daraja al pil au tatu..upumbavu kabisa ..hao mnao wa admire leo.miaka 50 nyuma walikua kama huku tu.machinga ..biashara barabaran etc..wengne mpaka leo.....

Mipango miji mizur kwenye nchi ambayo hata panadol hamwez afford or nchi ambayo bado mnapambana na mbu na nzi ni upuuzi....uchumi huwa haudanganyi.. automaticaly mambo huwa yanajiset yenyew...ipo siku hao wanaopanga vitu barabaran wenyew watatoka humo...ukiona hawatok ujue ndo level yetu ya uchumi ilipofika..ukiwafukuza hao na kuwatoa hata useme unaenda wapangia wakae wap. Utashindwa tu.sanasana utasaabishaa chuki na vita wiz na ujambaz...

Level hyo tanzania badooo
 
Akili ndogo..na ndomana watu wenye busara huwa wanapewa nchi...wangekua wanawapa watu wa aina yako..hii dunia ingekwisha.....ukitaka sera za kibepari africa...uliwaona rwanda walivyo chinjana?

Waafrica ukiwaletea sera hzo..utavamiwa na majambaz usiku watakuchinja wew na familia yako...usijarib hyo kitu..vita zote africa znatokana na hyo sera yako..hyo wafanye hukooo..sio huku
 
Maamuzi kutoka kwa mtu anayelala na files kitandani kwake.Dalili ya mtu asiyestaarabika,asiye na mpangilio wa mambo yake.
 
Meko Ni mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…