Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Kwahyo unataka kuruka hatua? Hiv unahis Tz, nchi za africa masharik na nyingne tuko hatua gan za kiuchum.....fatilia china .dubai.malaysia etc miaka 30 iliyopita walikua na mazingira gan...kwasis tunaojua ni kwamba miak 30-40 nyuma hzo nchi zilikua zna machinga had mdomon mwa majij yao...lakin ndio ilikua hatua yao husika..so nasis tutavuka pia hatua hii na tutakua kama unavyotaka....tatzo la utandawazi ndo hili. una access ya kuangalia whats goin on on the other side bas unahis we are on same level ya kimaendeleo...sis tuko miaka 400 nyuma ya hao jamaa..so subir tufike hatua hyo ndio utakua na legitimacy ya ku argue hvyo...mkuu...tz na vinchi hvi vya africa baaaado sanaaa...yaan saaaanaNinyi ndo mnapotosha hata maana ya umasikini na namna ya kuutatua.
Hao machinga mbona hamuwaruhusu wapanga bidhaa zao kati kati ya barbara ili wapate sehemu nzuri zaidi kuuza bidhaa zao.
Waange kwa mfano barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo rd, Morogoro rd!
Hapo huksi wateja wa kumuondolea machinga umasikii!
Lakini ndio miji inavyopaswa kuendeshwa?
Its a very parohial view ya kutatua umaikini , ati kuruhusu masikini wafanye wapendalo, kwa vile tu ni mtaji wa kisiasa, na wanajipatia chochote.
Ok! sasa mitaro jijini imejaa taka za achinga, nani aksafishe ?
Hii Tanzania tunawapenda masikini? au tunauchukia umasikini?
Na tuna sera zipi kutatua tatizo hili?
Kama mtu hana solution ya kutatua matatizo, kuyaruhusu kushamiri nalo ni tatizo.
Leo vijana masikini wanafurika jijini bila kikwazo, tunataka wote wawe machinga na mama lishe?
Na pengine kutatua tatizo la ajira nchini ni watu kufurika jijini Darna kuanzisha banda kando kando aua katikati ya barabara?
Its a very poor foresight.