Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

Yaan tuendako ni bora kupata watoto wa kike tuu...nimekaona katoto ka kiume kanacheza wimbo wa Zuchu unaitwaje cjui sasa pale anapoimba miuno sijui vibuno kitoto hata miaka 3 sizan kama kamefikisha...kanakatika haswa
Watoto sahv nawaonea huruma maana hali si hali

Ova
 
Utawasikiaa watoto wanaimbaaa natoa mku-----n---d

Ova
 
Kwakweli hali ni mbaya,wasanii,mitandao ya kijamii ,watu maarufu wanalipeleka taifa papaya sana
Mungu atusimamie
 
E
Ngoja apate mshangazi sasa
 
Saivi wazazi kazi tunayo asiposikia kwako atasikia mtaani
 
serikali haiwezi kukusaidia kulea
 
Kosa ni lako walee wanao usipowalea Dunia itawalea.
 
Juzi nimeamua kufuta App ya Facebook, yaan kila ukiingia lazima ukute picha chafu, hii speed ya dunia ni hatari. Hakika tukae mkao wa kula hiki kizazi.......
 
Kuna siku napita zangu chocho la mtaa. Nikakuta vitoto vya kike vya primary vinacheza ile michezo wanayochezaga wadada wa baikoko kukatika nyonga huku umeweka msamba, na kukatikia sakafu.

Aiseee haya mambo yanaumiza sana moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…