Uzunguni huwa wanaweka hii nembo kwa nyimbo ambazo hazifai kusikilizwa na watoto. Sasa BASATA nao wanatakiwa kuja na nembo kama hiyo ya kiswahili. Wanipe tenda ya kubuni hiyo nembo.
Hakuna haja ya kupiga marufuku bali wasanii ndio waambiwe wawe wanatoa version kama mbili explicit (kama walivyoegemea na soko walilolenga) yenye parental guidance na yingine redio version ambayo wana-mute sehemu ambazo zina ukakasi....; Kwahio redio version itakuwa kwa watu wote na nyingine explicit ni kwa ajili ya adults / au yoyote ile ina caution... (Parental Guidance Explicit Material)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.