Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
1,198
Reaction score
2,695
Nimeamini mwanamke anaumia sana kuachwa na mwana anayempenda 😄


Kama mnavyojua Drake ni muhuni afu mwana, Serena Williams alimtongoza mwana akamwaga tui la nazi kisha akapiga chini ilimuuma sana Serene hadi akachukia Black akaolewa na mzungu

Sasa bi dada kidonda hakijapona jana Kendrick aki-perform kwenye halftime show
Serena Williams alipanda jukwaan kumsindikiza msanii huyo anayepewa hype za uongo akiperfom Not like us dis track kwa Drake

Sikujua kama Kendrick na William ni wajinga hivyo asee

Kuanzia leo nafuta ngoma zote za Kendrick pumbavu huyu🤔🤔
 
He is hyped for reasons. Drake was also hyped to have more Grammys now the sand has shifted. Halafu kuna black wanamuina Drake siyo mwenzao. Besides, the diss is not that a hit. His flow is totally a wack to me. Ila ndo wakati wake huu muache atambe.
 
Back
Top Bottom