Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

Okay!!!
Flow na verse za msanii gani unazielewa na unaona zina maajabu?
Mimi si mfuatiliaji sana wa muzikiwa kizazi hiki ilanyimbo moja moja naweza kukutana nayo ikanifurahisha. So, hiyo ngoma ya not like us si kati ya nyimbo ambayo nimeona ina maajabu makubwa sawa na hype iliyopata. Ndiyo maana nilihisi huenda siyo muziki wa kizazi changu.
 
Unapenda muziki wa hiphop?
 
Unapenda muziki wa hiphop?
Napenda kila aina ya muziki as long as it sounds good in my ears. Naweza penda flow, beat, lyrics hivyo. But mostly najikuta napenda nyimbo za late 90s hadi 2015 hivi zaidi.
Ngoma za akina 2pac, Eve E, Fedro Starr, Coolio, DMX, akina kanye west, jay z, yani watu wa error hiyo. Hata hapa nasikiliza ngoma za Eve.
Lakini pia kuna ngoma za drake nazipenda kama God's plan, shot for me n.k.
 
Okay!
Nisikuache mikono mitupu mkongwe, kula vyuma hivi kutoka kwa Kdot na mtoto mkali SZA.

View: https://youtu.be/HfWLgELllZs?si=EA2dwi6fEjVg9KZJ

View: https://youtu.be/NEnephbahLA?si=TZdpYXqoQpsfs9U9

View: https://youtu.be/GfCqMv--ncA?si=9Nt9Wt-zhVkEPzeS
 
Kendrick wa hovyo sana kama kishungi cha kiwi
20250211_202727.jpg
 
He is hyped for reasons. Drake was also hyped to have more Grammys now the sand has shifted. Halafu kuna black wanamuina Drake siyo mwenzao. Besides, the diss is not that a hit. His flow is totally a wack to me. Ila ndo wakati wake huu muache atambe.
Drake hajawahi kubebwa km kendrick
Drake alismama kwa uwezo wake
 
Mimi kusema kweli nilihisi labda ndo sielewi muziki, jamaa flow na verse zake sijaona cha ajabu alichofanya. Naona anaimba mistari mirefu kiasi kwamba sometimea anakuwa offbeaat labda ni style.
Sema kila zama na mfalme wake hata wakati drake yuko kwenye peak watu walidai amekuwa hyped
He is not our king,drake still running
 
Nimeamini mwanamke anaumia sana kuachwa na mwana anayempenda 😄

Kama mnavyojua Drake ni muhuni afu mwana, Serena Williams alimtongoza mwana akamwaga tui la nazi kisha akapiga chini ilimuuma sana Serene hadi akachukia Black akaolewa na mzungu

Sasa bi dada kidonda hakijapona jana Kendrick aki-perform kwenye halftime show
Serena Williams alipanda jukwaan kumsindikiza msanii huyo anayepewa hype za uongo akiperfom Not like us dis track kwa Drake

Sikujua kama Kendrick na William ni wajinga hivyo asee

Kuanzia leo nafuta ngoma zote za Kendrick pumbavu huyu🤔🤔
kwa hiyp lamar anapiga show kwa serena ama?
 
Back
Top Bottom