Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tumetoka kusoma mambo ya diva kutoka kwa Hance Mtanashati now serena kutoka kwako sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tumetoka kusoma mambo ya diva kutoka kwa Hance Mtanashati now serena kutoka kwako sawa
😂😂😂😂😂😂Yani ngoma zenyewe umezipata kwa bekaboy na Djmwanga halafu unatishia kuzifuta?
Wabongo mna mizaa sana.
Mbona haihusiani sasaKuanzia leo nafuta ngoma zote za kendrick pmbav uyu🤔🤔
Vichaa tu!Ndiyo kina nani hao huko Daslam
They not like usCcm oyee
Mnyama mmoja mkali sana ambaye anasumbua kila kona ya bongo na nchi za jirani kama marekaniDrake ndio mnyama gani huko bongo
Lichizi lileJana Kendrick alibugi show mbovu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani ngoma zenyewe umezipata kwa bekaboy na Djmwanga halafu unatishia kuzifuta?
Wabongo mna mizaa sana.
Nothingwanamchango gani kwa taifa
Yeye hapo eti anawakomoa Kendrick na Serena, duh.....Mbona haihusiani sasa
Anahisi akizifuta itamuuma sana Kendrick, as if they're buddies.Yani ngoma zenyewe umezipata kwa bekaboy na Djmwanga halafu unatishia kuzifuta?
Wabongo mna mizaa sana.
Na kendrick akisikia jamaa amefuta nyimbo zake atalia sana kumpoteza shabiki kama yeye 😃 😀 😄Yeye hapo eti anawakomoa Kendrick na Serena, duh.....
!
🤔🤔
🤣🤣
Ushazifuta? Kama umezifuta basi vizuri!Nimeamini mwanamke anaumia sana kuachwa na mwana anayempenda 😄
Kama mnavyojua Drake ni muhuni afu mwana, Serena Williams alimtongoza mwana akamwaga tui la nazi kisha akapiga chini ilimuuma sana Serene hadi akachukia Black akaolewa na mzungu
Sasa bi dada kidonda hakijapona jana Kendrick aki-perform kwenye halftime show
Serena Williams alipanda jukwaan kumsindikiza msanii huyo anayepewa hype za uongo akiperfom Not like us dis track kwa Drake
Sikujua kama Kendrick na William ni wajinga hivyo asee
Kuanzia leo nafuta ngoma zote za Kendrick pumbavu huyu🤔🤔
Wewe mchele kibua huwezi kumuelewa Kendrick. Ngoma za Kdot wanasikiliza wanaume mashababi.Nimeamini mwanamke anaumia sana kuachwa na mwana anayempenda 😄
Kama mnavyojua Drake ni muhuni afu mwana, Serena Williams alimtongoza mwana akamwaga tui la nazi kisha akapiga chini ilimuuma sana Serene hadi akachukia Black akaolewa na mzungu
Sasa bi dada kidonda hakijapona jana Kendrick aki-perform kwenye halftime show
Serena Williams alipanda jukwaan kumsindikiza msanii huyo anayepewa hype za uongo akiperfom Not like us dis track kwa Drake
Sikujua kama Kendrick na William ni wajinga hivyo asee
Kuanzia leo nafuta ngoma zote za Kendrick pumbavu huyu🤔🤔
Define hit!Besides, the diss is not that a hit.
Mimi kusema kweli nilihisi labda ndo sielewi muziki, jamaa flow na verse zake sijaona cha ajabu alichofanya. Naona anaimba mistari mirefu kiasi kwamba sometimea anakuwa offbeaat labda ni style.He is hyped for reasons. Drake was also hyped to have more Grammys now the sand has shifted. Halafu kuna black wanamuina Drake siyo mwenzao. Besides, the diss is not that a hit. His flow is totally a wack to me. Ila ndo wakati wake huu muache atambe.
Okay!!!Mimi kusema kweli nilihisi labda ndo sielewi muziki, jamaa flow na verse zake sijaona cha ajabu alichofanya. Naona anaimba mistari mirefu kiasi kwamba sometimea anakuwa offbeaat labda ni style.
Sema kila zama na mfalme wake hata wakati drake yuko kwenye peak watu walidai amekuwa hyped